T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,116
- 30,549
We ndo umeingia mjini huko mara jioni mibia hiyoo,na mud a kidogo eti wachukua dadapoa huyooo sijui rum gani mara unafakamia matiti we umemjulia wapi huyoo.ukiwekewa madawa uibiwe sijui utajificha wapi na aibu hizo zee zima.nasema ni hatari
Hahahaha!!Hehehehe!!Nimejifunza kitu hapa,kumbe kuna uwezekano wa kuwekewa madawa ya kulevya kwenye titi!!