samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
We ndo umeingia mjini huko mara jioni bia nyingi,muda kidogo eti wachukua dada poa huyo sijui chumba gani mara unafakamia matiti we umemjulia wapi huyo.
Ukiwekewa madawa uibiwe sijui utajificha wapi na aibu hizo mzee zima.
Nasema ni hatari.
Ukiwekewa madawa uibiwe sijui utajificha wapi na aibu hizo mzee zima.
Nasema ni hatari.