Hii tayari tunayo, tupe mpya.
Ukiona mtu anakuchukia furahi maana kuna vitu umemzidi yeye hana na hawezi kuvipataUna chuki na Mshana jr, maana hata jina lake ume copy
1. Mwanasheria anatumai utaingia kwenye Shida. (Uwe mtuhumiwa)
2. Daktari anatumai uuumwe/upate shida ya kiafya
3. Polisi anatumai uwe Mhalifu.
4. Mwalimu anatumai Uwe Mpumbavu
5. Mwenye Nyumba anatamani usujenge Nyumba yako
6. Daktari wa meno anatumani meno yako yaoze
7. Fundi anatumai gari lako liharibike
8. Mtengeneza majeneza anataka ufe.
9. Ni Mwizi pekee ndiye anayekutakia Mafanikio katika Maisha yako! [emoji3064][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dactari na Mwalimu umewaonea,this is charity work kaka,na wito kama wito mwingine japo wachache wanautumia ndivyo sivyo,but 90% am telling you wanajitolea kikoree.1. Mwanasheria anatumai utaingia kwenye Shida. (Uwe mtuhumiwa)