katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,163
Endelea kubadilisha kila siku unacho tafta utapata na si bure wenda utakua unavuja au fisturaBoya kweli wewe. Nawe kabisa unatongoza demu halafu unaenda kula mzigo!!? Ninyi ndo mnatuaibisha wanaume wote tunaonekana wachafu. Kweli dada zetu wavumilivu sana aisee! Boxer inavaliwa wiki!!!? Ukikaa karibu na mimi sehemu wewe nakukata vibao kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeeeeee bagoooooosha mdomo wangu umebaki waziRespect sana kwake,hata Mimi hiyo mimaji maji hua unanchefua mno,ntaiga style yake ya kitaulo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh.
Anavuja babakoEndelea kubadilisha kila siku unacho tafta utapata na si bure wenda utakua unavuja au fistura
Muone dr mKuu
Unaleta ujinga wako wa form two hapa!Endelea kubadilisha kila siku unacho tafta utapata na si bure wenda utakua unavuja au fistura
Muone dr mKuu
😀😀😀😀pole sana mimi ndo baba mwenyewe
hakuna mwanaume wa dar anaevaa chupi huyo ni wa kwenu huko mkoaniHivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Wewe Me/Ke?Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Inawezekana mbona sema kwa mwanzo nilipata tabu za kimbwa koko lkn saiv naweza kaa wiki au wiki mbili pasipo hata kusoma humuMmmhh.
Huo uvumilivu lazima uendane na sababu ambayo itakufanya ishindwe kutia jicho humu
Teh teh kumbe bado wanavaa chupiHivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
SawaInawezekana mbona sema kwa mwanzo nilipata tabu za kimbwa koko lkn saiv naweza kaa wiki au wiki mbili pasipo hata kusoma humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante na wewe pia
Mkuu, hayo ndio matokeo ya shuzi linapo pata mjambaji .......tehteehh
Hatari sana itabidi watengeneze pedi za kiumeMkuu, hayo ndio matokeo ya shuzi linapo pata mjambaji .......tehteehh