Aiseeh! Washkaji pigeni simu kabla hamjaja maghettoni

Aiseeh! Washkaji pigeni simu kabla hamjaja maghettoni

Mwambie nimechoka nataka kulala kwahiyo nipishe nifunge mlango
Au zuga kuna shemeji mpya muda si mrefu anakuja na kwakuwa ni mpya si vema akakuta mtu hapa
 
Kiukweli wengi wanaomkosoa mtoa mada wakidai ni ubinafsi na uchoyo me napingana nao. Unakujaje gheto kwangu bila taharifa?
Mkuu binafsi huwa kama ndo muda nimetulia natafakari life na mipango ya hapa na pale then ukafika ghafla bila taharifa yaani mda huohuo nakuambia nina safari kuna sehemu nataka niende kukamilisha harakati. Wengi wanaweza ona hiki jambo la kawaida ila ni jambo jema sana kumjulisha mtu kabla ya kufika kwake kila mmoja anahitaj uhuru so unapokuja ghafla hata maongezi yanakuwa ya kulazimisha sana.

Mshkaj unakuja gheto, nijulishe kisha nakupanga uje au lah kiasi kwamba ukifika hata mzuka wa kupiga story mbili tatu inakuwepo na unaona umuhimu wa kampani kwa siku hiyo.

Toa taharifa unapoenda kwa mtu, ni ustaarabu wa kawaida unaonyesha kiwango cha hekima na busara yako. Acha kujiondokea kisha unafika mshkaj anaanza kukujudge kama huyu wa mtoa mda, mara ananuka jasho, sasa huo ni ushkaji au unafiki.
Umeona eeh nashangaa sana wengi wamengangana kwenye msosi as if hoja yangu hapa ni msosi, kama msosi angenipa appointment mbona ningemuagizia hata kitimoto. Ishu ni kwamba nimchoka nimeamua kujipumzikia zangu then mtu ghafla tu yuko mlangoni bila hata taarifa.
 
Pivacy usifungue mlango,agonge akichoka atambae unakula bati tu.zamani pale mi na ma mwenye nyumba wangu baada kuchoka hodihodi nikamkabidhi funguo na kufuli.
Nikizama gheto anatia kufuli mda kuniamsha sa saba akileta lunch baas.
Shida zote za nini hizi..ni bora kuwachana kuwa.."Yooo i don't need any fucker in my ghetto without an appointment"
 
Umeona eeh nashangaa sana wengi wamengangana kwenye msosi as if hoja yangu hapa ni msosi, kama msosi angenipa appointment mbona ningemuagizia hata kitimoto. Ishu ni kwamba nimchoka nimeamua kujipumzikia zangu then mtu ghafla tu yuko mlangoni bila hata taarifa.
Mkuu tatizo watu hutafsiri "wema" tofauti, kila kitu kinakuwa na mipaka siyo kwasababu wewe mshkaj tumeshibana basi ndo wajifanyia maamuzi tu ya kuja skani bila taarifa, halafu na kuna wale washkaji mda mfupi tu kama Miezi kadhaa hivi mmeachana anarudi kukutembelea gheto anakuta mabadiliko anaanza kushika vitu na kuzisifia, mara dah Mr. Purpose hapa inabidi uoe maana hushajipanga tayr, hii TV uliununua bei gani (huku anaigusa anaangalia hadi nyuma) , watu kama hawa mkuu huwa siku nyingine tunakutana barabarani huko maana hawa ndo wanakuvimbisha kichwa mpka unapoteza malengo mengine.
 
Ndege wafananao.....mtu hawezi kuibuka tu kwangu bila taarifa kwasababu anajua atakutana na nini
Ukisema ndege wafananao.... napingana nawe kidogo labda ufafanue kidogo.
Binafsi huwa siendi kwa mtu bila kumpa taarifa. Ila kwangu hutokea mara nyingi nastukia tu mtu anagonga.
 
Ukisema ndege wafananao.... napingana nawe kidogo labda ufafanue kidogo.
Binafsi huwa siendi kwa mtu bila kumpa taarifa. Ila kwangu hutokea mara nyingi nastukia tu mtu anagonga.
Unaweza kutembelewa na mtu ambae sio rafiki yako kiviile au ndugu. Lakini rafiki yako mnaefahamiana vizuri lazima akuelewe wewe ni wa aina gani
 
Unaweza kutembelewa na mtu ambae sio rafiki yako kiviile au ndugu. Lakini rafiki yako mnaefahamiana vizuri lazima akuelewe wewe ni wa aina gani
Ooooh hapo nimekuelewa.
 
Mkuu ulipotea naona umeibuka! Mgeni kama ana chura anaruhusiwa kuibuka bila taarifa
@agata edward chura ipo?
FB_IMG_1572364112521.jpeg
 
Back
Top Bottom