Aiseeee! Hawa nahisi wanatuzidi AKILI,!

Aiseeee! Hawa nahisi wanatuzidi AKILI,!

Kwa ukubwa wake hawamuwezi..katu!

Yaaani kwanza kosi lenyewe linajumuisha kuku na kanga, usiombe kifo cha kudonolewa.
Ukubwa kwa hiyo strategy si kikwazo mkuu, si unajua matone ya maji mdogomdogo huwa yanajaza ndooooo?
 
attachment.php
 
Hiyo picha imenipeleka mbali sana we kyanakyoMuhaya mtundu eeeeh.
 
wenzako wapo dinning pale,wanasubiri chumvi tu
 
Back
Top Bottom