kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Watamchosha huyo. Akienda mbele, wa nyuma wanamdokoa. Mwendo ni huo huo hadi anakata roho.Kwa ukubwa wake hawamuwezi..katu!
Watamchosha huyo. Akienda mbele, wa nyuma wanamdokoa. Mwendo ni huo huo hadi anakata roho.
Ni mkali kinyanaMi nimependa avatar ya mleta mada
hiyo yako ndo noma kama umepata ajali vileNi mkali kinyana
Inabidi nimtafute popote ili tufanye cross breading tupate bonge la hybridhiyo yako ndo noma kama umepata ajali vile
unanipa crush ujue,au ndo zali la mentaliEti eeh!!
Kama kawaida hapo lazma ale mmoja
Mi nimependa avatar ya mleta mada
kimtindo tunaendana nini?![]()
![]()
Waaaacha!
hapana naona hii ndo zali la mentali bhana,nikimkosa najiuzulu u-member wa JFNa wewe huchomoki hapo??!! ha ha ha ha ha!
Hakunaga formula mkuu, ila mmetokelezeaaaaakimtindo tunaendana nini?