Aiseee!!! watanzania ni balaa

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,925
95,582

IMG_20170601_184329_126.JPG
 
Makonda...wakati anaingia ushirika alijiunga kwanza na Chadema siasa za shule....na mzee ndesa.alikuwa akimsaidia sana yeye na wenzake wengine
Wakati fulani makonda akaanza kuwa na marafiki ccm...akajakutambulishwa kina sita ,mwakyembe ...basi akahamia mzima mzima
So huyu Ndesa alimsaidia wakati mgumu sana pia kuna wakati alimtambulisha kwa Freeman naye akawa anamsaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom