Aiseee very very!take care usipime Kwa macho.Hongera dada D

Hawa wamejaa wengi sana mjini na ndio Ma girlfriend wenu wengi humu ndani! Dawa ni kupima na kujua hali yako tu!
 
Wako wengi Sana humu mitaani.
Watoto waliozaliwa miaka ya 90 ndio hao wamejaa vyuoni na ndiko tunaona wako salama.
Huyu sio mmoja.
Dawa Ni kuacha ngono zembe
 
Ningekuwa baharia, huyo ningemla tu.. katika maisha yangu sikuwahi kuogopa ukimwi na sio ukimwi sijawahi kuogopa ugonjwa wowote na hilo pia limenifanya kwangu kuugua kusikia tu kwenye bomba na watu wengine
 
kuna nyumba zimeandikwa kuna mbwa mkali lakini mabaharia tulipita ivyo ivyo.
 
Back
Top Bottom