Itawezekana tu kamandaLengo sio utajiri, lengo ni financial freedom
Utajiri tunawaachia wao
Upo sahihi kwa upande fulaniHuwa ninapambana kwa juhudi nyingi nipate cha kunitosha, kile kinacho ongezeka kinakua ziada alihamdulillah lakini lengo si kutajirika, ikitokea mashaallah, ukipenda sana mali utajikuta unafanya mambo ya ajabu hata kuliwa utamu na wahuni.
Ili uitwe tajili inatakiwa uwe na kiwango gani hela?Lengo sio utajiri, lengo ni financial freedom
Utajiri tunawaachia wao
Samahani, lakini huu mtazamo wa kitu kinaitwa financial freedom.!Lengo sio utajiri, lengo ni financial freedom
Utajiri tunawaachia wao