Aisee! Kumbe ndom inanuka namna hii!

Aisee! Kumbe ndom inanuka namna hii!

alaah basi sawa ila nadhani atakuwa alijutia sana kupanda hiace labda hakujua kwamba anatoa harufu gani #mtupa maganda hakumbuki ila muokota maganda hukumbuka#ndo tatizo lililopo
 
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote walifungua mafirisha baada ya mama wa watu kuingia kwenye gari japo, gari ilikuwa na aisii ila watu walifungua madirisha.

Note tu, madada muogage baada ya gemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue umenichekesha kishenzi mkuu

Walifungua mafirisha ndio nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi lakini mlifika salama safari yenu, au mliishia kushuka njiani mleta uzi???
 
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote walifungua madirisha baada ya mama wa watu kuingia kwenye gari, japo gari ilikuwa na aisii ila watu walifungua madirisha.

Note tu, madada muogage baada ya gemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda alijipaka yale mafuta ya ndomu otherwise hii ni chai.
 
Back
Top Bottom