Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Sijaona eneo alilosema kuwa alirudisha hizo laki mbili na ishirini elfu. Nitachangia nikipata jibu la hilo swali.
 
Sasa hivi dunia daah imefika pabaya,watanzania tuache kuongea ongea sana kuhusu hii aibu ya wanaume kutaka wanaume wenzao..hii inajenga mawazo mengi ktk akili za watu za hasa kutaka kutaka kujaribu hiyo kitu..nidhambi..hongera mkuu kwa kuvuka hapo maana daah aibu
 
Kwahiyo mnaamini kuwa ushoga siyo kitu cha kuiga bali ni genes zinakuwa corrupted. Hapo mmesema wanaume, wanawake wanaoishia kuwa wanajeshi, walinzi, wengine ma baamaid lakini wale mabouncer. Jamani tusilaumu ila tutafakari. Hitler alikuwa anawaua na kuwafanyia experiment, mtu aliyevumbua computer mwingereza alipewa sumu wakati yupo kizuizini baada ya kukubali kuwa alikuwa gay na baada ya kusaidia majeshi ya ushirika kuweza kusoma codes za mgerumani kwa msaada wake.. Vyakula tunavyokula, maisha tunayoadopt yatawafanya nanyie mpate watoto mashoga. Waarabu hawakubali lakini ujue neno shoga, msenge yasingekuwepo kama matendo hayo yasingekuwepo. Makabila ambayo hayajui hii kitu je yana jina la hawa watu? Nashindwa kupresent hii kitu kwenye forum ndogo kama hii labilkini jamani tuwe watafiti tusichukulie dini na kuamua. Dini za kikristo zilipoanzia, wenzetu wanawatambua hawa watu kuwa wana haki ya kuishi. Mimi na declare kwamba siyo gay/lesbian, ni mtu ambaye nina wajukuu ila kwa utafiti wangu hapa na pengine nimeona kuwa gay ni tatizo la kimaumbile. Samahani kama nimewakwaza watu ila natangaza kuwa mimi si gay, nina watoto na wajukuu ila through kuona na kutembea nimegundua hawa watu ni kama Albino tunavyowaona.
 
Mmmh,hebu elezea hizo genes na inakuaje mmoja katika familia anaibuka kuwa gay wakati katika familia hakuna aliewahi kuwa hivyo,ni mutation ni nini?
Na kwanini kwa sasa hawa gays wanaongezeka kuliko zamani...inamaana hizo genes zimeibuka nyakati hizi?
 
Kwahiyo mnaamini kuwa ushoga siyo kitu cha kuiga bali ni genes zinakuwa corrupted. Hapo mmesema wanaume, wanawake wanaoishia kuwa wanajeshi, walinzi, wengine ma baamaid lakini wale mabouncer. Jamani tusilaumu ila tutafakari. Hitler alikuwa anawaua na kuwafanyia experiment, mtu aliyevumbua computer mwingereza alipewa sumu wakati yupo kizuizini baada ya kukubali kuwa alikuwa gay na baada ya kusaidia majeshi ya ushirika kuweza kusoma codes za mgerumani kwa msaada wake.. Vyakula tunavyokula, maisha tunayoadopt yatawafanya nanyie mpate watoto mashoga. Waarabu hawakubali lakini ujue neno shoga, msenge yasingekuwepo kama matendo hayo yasingekuwepo. Makabila ambayo hayajui hii kitu je yana jina la hawa watu? Nashindwa kupresent hii kitu kwenye forum ndogo kama hii labilkini jamani tuwe watafiti tusichukulie dini na kuamua. Dini za kikristo zilipoanzia, wenzetu wanawatambua hawa watu kuwa wana haki ya kuishi. Mimi na declare kwamba siyo gay/lesbian, ni mtu ambaye nina wajukuu ila kwa utafiti wangu hapa na pengine nimeona kuwa gay ni tatizo la kimaumbile. Samahani kama nimewakwaza watu ila natangaza kuwa mimi si gay, nina watoto na wajukuu ila through kuona na kutembea nimegundua hawa watu ni kama Albino tunavyowaona.
Labda utufafanulie kwa nini hayo maumbile yameanza kubadilika sasa na si wakati wa akina chifu Kimweri wa Vuga!? Huoni kuwa exposure kwenye mazingira ya kishoga (filamu, nternet) imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta vitendo hivi!?
 
Hivi humu jamiiforum kumeingiliwa na mapepo nini bora shule zifunguliwe na vitu vya ajabu.
 
Hiyo ofisi si niyakwake binafsi so watu wanashangaa nn yy kuvua nguo humo ofisini wakati anamaamuzi nayo,juzi kuna mmoja nilipanda naye MV magogoni nikabak namshangaa,chamsingi tuwaombee ili bolti zilizolegea zijikaze
 
Sasa hivi dunia daah imefika pabaya,watanzania tuache kuongea ongea sana kuhusu hii aibu ya wanaume kutaka wanaume wenzao..hii inajenga mawazo mengi ktk akili za watu za hasa kutaka kutaka kujaribu hiyo kitu..nidhambi..hongera mkuu kwa kuvuka hapo maana daah aibu
Wewe ndiye unayetaka kujaribu. Elimu hii ni fundisho kwetu. Kibaya kabisa cha mleta uzi hakumtaja mhusika. Angetaja na ofisi yake ilipo ili ajulikane kabisa.
 
Back
Top Bottom