Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Kuna mashoga na kuna wanaowaingia kwa hela...
Wanaouza dushe kwa mashoga...
Wengi wanadhani shiga mpaka awe kama akina kaoge na james delicious.... Mashoga tupo nao kwenye familia zetu na wengine ni wababa na familia zao... Usikuanampa dozi wife, mchana anapewa yeye dozi na njemba lingine huko.
Nna rafiki yangu huwezi mzania ila ni shoga na anakaribia kuoa sasaivi!!
 
Aise yani ukimwangalia jamaa ni mtu wa heshima kabsa tena wakuogopwa maana watu wenye hela bhna sio wenzetu kumbe ni shoga. Aise dunia imeisha.
Mkuu, kama ana pesa kiasi hicho uwe makini sana!!! Hatopenda siri yake ifichuke. Na ulivyoweka details hapa atakutambua kirahisi sana...
 
hata niziporidhika nayo nitafanya nini???

kwanini unabeba mizigo ya watu???? haiwezekani mtu akuite umkute na boxer ofsini lazimaa alikujengea mazingira kwanza ndo maana akafika akavua kika kitu..

yawezekana ni kweli kilichojiri ila huyo mtu nadhani Hata yeye anahjtaji security kama ni kibosile hawezi vua ngua tena mbele ya jamA wawili WAKIMREOKODI???? au kumpiga picha????
yani ufungue mlango ukae kwenye kiti mtu yuko na boxer aanza kukuvua nguo wewe hHaha ila mkuu

hii movie hii nashindwa kupata muendelezo mzuri
HONGERA KWA KIMBIA MajRibu
Jamaa nimependa unavyofikiria
 
Juzi juzi hapa... Kuna bwabwa lilikomaa na mimi facebook... Sema malaika wa kher alikuwa upande wake.. Hakuja geto.. Naamini kwa jeshi nililokuwa nmeliandaa angetoka kawa jemedari.. Na kwenda Kuoa kabisa...
 
Juzi juzi hapa... Kuna bwabwa lilikomaa na mimi facebook... Sema malaika wa kher alikuwa upande wake.. Hakuja geto.. Naamini kwa jeshi nililokuwa nmeliandaa angetoka kawa jemedari.. Na kwenda Kuoa kabisa...
mmmmmmmhhhhh
 
Habari wakuu.!

Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"

Tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi.

Tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo.

Nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya.

Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.
Duniani Kuna Mambo
 
Hahaaaaaa we ushaambiwa katoka kumaliza six yuko home unadhani atazirudisha..........thubutu yako
Hehehe kama hakurudisha shauri yake. Asiombe jamaa kama maarufu kwa tabia izo, mana kitendo cha kuingia kwenye gari yake tu basi umeshaharibikiwa na CV. Aangalie tu, kupewa kupewa uko mwisho atakuja chezewa mtu ohoooo!!!
 
Mkuu najaribu kuwaza hiyo laki na ishirini umeitosa vp,nakumbuka na hiyo laki tano mh bado sipati picha kamili.
 
Back
Top Bottom