Aisee! Facebook kuna vituko

Aisee! Facebook kuna vituko

024c2760e3178a7996eb5e7043f1f20a.jpg
Hahahahahahaaaa eshmael wapi huyu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislam wenyewe kwa wenyewe si wanaweza kuoa mke wa pili?
Huyo dada hajui nguzo za uislamu?

Au hajasoma madrasa?
 
Wacha juma awachafuege kwanza mpate akili,... Antenna zimeyumba sana nyie bwahahahahaha
 
Sasa nnani atakuja tena huku tumeshajua kuwa Juma kwisha chafua maji mtungini?? Si ungelificha?? Yaani kumbe kilombero yoote ishachoviwa halafu unatangaza kweli!! Dah!
 
Back
Top Bottom