Hii kweli waache waongee
lugha wanayozungumza wakenya inatia kichefuchefu!!
Numbisa utaniua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walitikisa chaga kwa uaminifu[emoji23][emoji23]
Hahaha sofia kwanini lakin,hujui kuachwa?
Hahaha haya mapoz ya mwaka 47 ya kuweka na ua katikati afu kujifanya uko bize huangalii kamera[emoji23] [emoji23]
huyu dogo kafanana na avatar ya joverest [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thanks![]()
Tatizo akili zangu butu am not creative. Ningependa kuwajoin wewe na mshana jr. ila nitaishia kulike tu basi.Uwiiii mamie ukiachika usisahau kuanzisha uzi MMU tule ubuyu hahahaaa
Thank u