Aisee! Facebook kuna vituko

6063fbb1a57b2355a062fb54c28feff6.jpg
Hii latino kabisaaa
 
Hakuna mwenye akili butu my dear,ukikaa na kujichunguza utagundua una kipaji cha ajabu humu JF ila haujakitambua mapema.
Tatizo akili zangu butu am not creative. Ningependa kuwajoin wewe na mshana jr. ila nitaishia kulike tu basi.
 
heroo..wee ar ver sor,awa fbk akaunting hav bin haked bye hakers but not of juma kadara and mchepuko..sisi thunajua kuhandika kithwahili ni kingredha kwa ufwasaa.thulikuwa thunaka kuihingia na jamee froms but humu used fuk name and no aprooding of fwotogruph.soo wee dicidead to kubakaia on fbk.fanks to oro membras of jemyfroms,yani much fanks tu Numbisa,kwa kuthutangadha huku.fanks a rott,wee fbk used wee rove yuu.shiao.
 
Numbisa nimevumilia nimechoka, nimecheka mbavu tatu sina, nimetoka hospitali sasa sikia Numbisa nikiachika shauri yako maana mzee haelewi kinachonitoa machozi na kwikwi anaishia kulipa bill za hospitali. We haya. keep posting I love them though.
 
Back
Top Bottom