Aise Messi ndio mbuzi

mama tanzania bila amani ni ngumu kushuhudia mubashara matangazo ya kombe la dunia kupitia TBC
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida
 
Yaani huyu jamaa akiwa bado yupo uwanjani na mpira ukiwa ungali unachezwa usiseme mpira umeisha hadi refa aseme umeishaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Leo ametumia takribani dakika 10 tu kujitambulisha kwa wapenda soka wote duniani.
 
Napenda tu mpira sina maneno mengi bwasheeπŸ˜…πŸ˜…
 
Ronaldo ni bonge la mchezaji ila kwa sasa umri umemtupa mkono , kumbuka elkasiko walivyokua wanajibishana na Messi kwenye piki zao
Classico zipi hizo mkuu? King of El Classico ni LIONEL ANDRES MESSI.

Messi ndio TOP scorer wa muda wote wa El Classico.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…