Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,111
Kulikoni airtel TANZANIA , yani ukitumiwa kakitu tayari wao wana pop message kukulazimisha ununue bado , jambo hili halikubaliki
Ni wapuuzi sana hao.
SI UTUPE LI LAINI LAOKulikoni airtel TANZANIA , yani ukitumiwa kakitu tayari wao wana pop message kukulazimisha ununue bado , jambo hili halikubaliki
View attachment 3354921
WamenishawishiUmelazimishwa au umerahisishiwa?
😂😂🤣Ni wapuuzi sana hao.
Kwani hadi mimi naongeza salio sijui la kufanya?
Kama haupo tayari hata wakikununulia chips usikubaliWamenishawishi