Kwenye *149*81# MB zimeshushwa sana. Kwa mfano Cha Wiki kutoka 1 GB mpaka 70 MB. Anyway! Nitaacha kuchusha mafaili. Mungu asaidie dakika na sms zisishuke, pia Mb zisishuke zaidi.
Je huko OMG nafikaje??
Hamia Zantel
Mbona hawa Wana gharama kubwa zaidi?
Tanzania inanisikitisha sana.
You have no idea. Wana kifurushi cha mia tano unapata 125 Mb, dakika za kupiga mitandao yote pamoja na sms.
waliokimbia vodacom,kimbieni na uku sasa....
Bado cjaona mbadala wa vodacom tz wako vizur san kweny customer caring na int speed..icho tu ndo nawakubal voda,sihami ng'o.
Zantel hawana 3G mikoani ni Upuuzi kwa Watu wa Huko... Dar na Zanzibar wanafaidi... ila Nilitumia Siku Moja Nikapiga Customer Care akapokea Mzenji na Kiswahili chake Mi kicheko tu
Airtel bado wapo juu
2.5 GB kwa Tsh 3000 kwa Wiki nzima...
Mkuu RGforever unajiungaje hicho kifurushi cha Airtel? saidia pia kama unajua jinsi ya kujiunga vya bila kikomo vingine vya siku tafadhali natakuliza shukrani
Airtel bado wapo juu
2.5 GB kwa Tsh 3000 kwa Wiki nzima...
Mbona hawa Wana gharama kubwa zaidi?