Wakat ushafika dar, ghafla unaona meseji kuwa ile hela imefanikiwa kutoka kwa huyo wakala wa huko singidaWapumbavu sana hawa airtel leo wamenifanya nishinde njaa kwenye bus nimefika singida natoa hela ninunue msosi wajinga hawajarudisha msg kwa wakala wala kwangu . Imenibidi nifunge bila kupenda.
Airtel haifai kwa malipo ya serikali au ada unakula hasara Moja matata Mimi baada ya kuambiwa hivo nilibatilisha malipo yangu haraka Sana wakanirudishia Hela yangu.Nilienda Dawasco mwezi uliopita, Kuna bill za maji nilitakiwa kulipa, ila walinisisitiza nisilipie kwa Airtel money
[emoji23][emoji23]Vunja chip
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakat ushafika dar, ghafla unaona meseji kuwa ile hela imefanikiwa kutoka kwa huyo wakala wa huko singida
Manina wana hela yangu halafu hawapatikani kwa namba 100[emoji849][emoji849][emoji35]Na ukiwapigia huwapatii [emoji23][emoji23]
Umehamia wapi??Nishaitupa line yao network haisom kbs
Pole dadaAirtel haifai kwa malipo ya serikali au ada unakula hasara Moja matata Mimi baada ya kuambiwa hivo nilibatilisha malipo yangu haraka Sana wakanirudishia Hela yangu.
Shapoa ila nimekomaPole dada
Tigo na voda Wana afadhali kiasi kwenye huduma za kifedhaUmehamia wapi??
Exactly,haifaiAirtel haifai kwa malipo ya serikali au ada unakula hasara Moja matata Mimi baada ya kuambiwa hivo nilibatilisha malipo yangu haraka Sana wakanirudishia Hela yangu.
Halotel babu laoUmehamia wapi??
Mi kuna siku niliwapata nikawatukanaManina wana hela yangu halafu hawapatikani kwa namba 100[emoji849][emoji849][emoji35]
[emoji28][emoji28][emoji28]Shapoa ila nimekoma