EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Maanake kama hawapatikani kwa namba 100 nafanyaje maana mechoka kusubiriaNi kila mara sio Leo tu, wanaotumia Airtel money wana moyo sana
Aseee... hata mm leo wamenikera sanaMaanake kama hawapatikani kwa namba 100 nafanyaje maana mechoka kusubiria
Saivi hapa laki imesombwa na huduma kwa.mteja pia haipatikaniNilijua ni kwangu tu naleo ni mara ya pili ndani ya hii wiki Airtel wanakera, mbaya zaidi hawatoi taarifa kama system Yao ina matatizo
Huu ni wizi aiseeAseee... hata mm leo wamenikera sana
Na hata namba yao 100 haipatikani
Tembelea ofisi yao iliyokaribu na wewe,waangalie kwenye mtandao ili wakurejesheeMaanake kama hawapatikani kwa namba 100 nafanyaje maana mechoka kusubiria
Hameni huko ni miyeyushoNimefanya miamala kadhaa hakuna meseji inarudi ina hela mmekata.
Kuna mtu nimemtumia 5000 imeingia kimyakimya.
Sasa hii laki nimetoa kwa wakala naipaje na nina haraka zangu.
Wakala haoni meseji na mimi sioni meseji ila hela mmekata.
Nipo stranded napoteza mda kusubiria meseji irudi na nina matumizi ya msingi.
Namba ya huduma kwa wateja pia haipatikani.View attachment 1846708
Ngoja niende mjini maana sikua na plani ya kwenda hukoTembelea ofisi yao iliyokaribu na wewe,waangalie kwenye mtandao ili wakurejeshee
Wapi kuna nafuu??Hameni huko ni miyeyusho
Airtel na Arsenal tofauti ni jezi tu ila watumiaji wao wanafurahia siku 1 wananuna wiki nzima😅😅😅Ni kila mara sio Leo tu, wanaotumia Airtel money wana moyo sana
Nenda kwenye airtel shop yoyote,watakurekebishiaNgoja niende mjini maana sikua na plani ya kwenda huko
Bora hata HalotelWapi kuna nafuu??
Airtel shop sikuhizi wanarudisha miamala ya watu?Nenda kwenye airtel shop yoyote,watakurekebishia
Huwezi amini NBC nimeenda wamenipa 5k[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ATM imekata salio hapa jirani.Hameni huko ni miyeyusho
Poa mkuu acha nioge nitokeNenda kwenye airtel shop yoyote,watakurekebishia
Haya mamitandao ya money transfer yamekuwa na shida sana voda week 2 nyuma ilileta miyeyusho balaaHuwezi amini NBC nimeenda wamenipa 5k[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ATM imekata salio hapa jirani.
Acha tu niende mjini