Jinsi ya kuongeza spidi ya internet kwenye simu yako

Migomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
945
Reaction score
1,339
Mitandao yetu ya simu mingi imekuwa slow sana hadi inakera. Binafsi sio mtaalam wa mambo ya computer /Ict lakini nimegundua namna ya kuweza kuongeza spidi ya mtandao Kwa kiasi kidogo.

Unahitaji smart phones mbili zenye uwezo wa Hotspot na wifi. Tumia simu moja kuwasha Hotspot(ili irushe data) kisha Tumia simu ya pili kupokea mawasiliano /data Kwa wifi.

Utagundua tofauti ya spidi kulinganisha na kupokea data moja Kwa moja kutoka kwenye mnara.
 
Ni kweli Mlamba Chumvi mimi binafsi nimehakikisha hilo. Tofauti nilianza kuona nilipokuwa natumia internet ya simu kurusha kwenye laptop na TV, Kisha nikaona tofauti ya spidi ukikaa sehemu yenye huduma ya free wifi nikaona nijaribu kwenye simu Kwa simu ndio nika-confirm
 
Ding si ungesema kutumia wifi kuna nguvu kuliko kutumia mobile data[emoji23][emoji23].[HASHTAG]#from[/HASHTAG] mkaza vyuma himself
 
Hilo kweli yawezekana, lkn je, kwa sehemu zingne ambapo unakuta mtandao uliopo ni wa 2G napo pia unapounganisha WIF network utendaji kazi unaweza lingangana na Mtandao wa 3G au H+
 
Haiwezi kubadili 2G ikawa 3G ila utaona improvement kwenye hiyo hiyo 2G
 
Mitandao yetu ya simu mingi imekuwa slow sana hadi inakera. Binafsi sio mtaalam wa mambo ya computer /Ict lakini nimegundua namna ya kuweza kuongeza spidi ya mtandao Kwa kiasi kidogo.

Unahitaji smart phones mbili zenye uwezo wa Hotspot na wifi. Tumia simu moja kuwasha Hotspot(ili irushe data) kisha Tumia simu ya pili kupokea mawasiliano /data Kwa wifi.

Utagundua tofauti ya spidi kulinganisha na kupokea data moja Kwa moja kutoka kwenye mnara.
Mi nikiweka moderm katika PC internet huwa slow balaa ila sasa nikitumia hotspo yaan nikiwasha hospot katk sm then nka connect na PC iko fasta balaaaa
 
Mhhhhh!!!!! ngoja nizime chombo nilale
 
Hilo kweli yawezekana, lkn je, kwa sehemu zingne ambapo unakuta mtandao uliopo ni wa 2G napo pia unapounganisha WIF network utendaji kazi unaweza lingangana na Mtandao wa 3G au H+
Ngoja kwanza 2g/3g/H+ naomba unijuze tofauti maana ndo naanza kutumia smart phone. Lakini Najua tupo wengi humu.
 
Back
Top Bottom