ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Naombeni kuelekezwa jamani sijui hili tatizo ni kwangu tu au kwa wote tokea jana mimi kila nikijiunga kifurushi cha 200MB zinaishia haraka isivyo kawaida!
Hapo natumia simu na line ni ya tigo naingia tu instagram nalike picha kadhaa na video chache natumiwa text umebakiwa na 5.00MB`S jana nikaona labda! Leo nimeweka tena sh 500 hata sa moja halijaisha na hapo nimeingia tu jamii forum,na instagram kidogo wala,sija download chochote nikambiwa nimebakiwa,na MB 5 kuchecki salio wakanambia huna salio kwenye acount hii
nikawapigia huduma kwa wateja kueleza kinacho nisibu nikambiwa eti nina MB 4 ila inabidi niweke salio kama sh 100 au 150 kuzi support zifanye kazi bila kuweka sitaweza tumia ukumbuke hapo mimi nime angalia salio la kifurushi changu nikambiwa sina chochote sasa najiuliza siku hizi ukinunua kifurushi afu zika baki MB chache ndo sheria kuweka hicho kias cha pesa ili zifanye kazi au ni wizi huu! Mimi nikaona sio kesi ngoja ninunue zingine nikaweka buku nikanunua MB 200 nimenda instagram nikalike picha chache hata 20 hazifiki na video 2 niakaenda jamii forum nikafungua jukwaa moja sijasoma,chochote nikasema ngoja nicheck salio kuja kucheck nikambiwa eti nina MB 90 hapo hata dakika 20 hazijaisha tangu nijiunge hicho kifurushi!
Guyz huu ni wizi au matumizi yangu mbaya zaidi jana kuna mda niangalia salio la kifurushi changu nikaambiwa nina,MB 95 nika cancel nikangalia tena wakasema nina MB 93 nikashtuka nika cancel nikaangalia tena salio nikambiwa nina MB 91 nikasema ni wanakosea au nikangalia tena wakasema nina MB 89 hii ni nini?
Ni kwamba hata kuangalia salio ya kifurushi changu wanakata MB jamani tutafika nashindwa kuelewa hapo tatizo matumizi au wizi mbona matumiz angu sio makubwa sasa kama kwenye simu ndo hivi na kwenye moderm je itakuwaje naombeni kuambiwa
pia mtandao gani nieende kati ya zantel na airtel maana hata voda ndo sitaki hata kuwasikia maana wale nikiacha salio kesho nikiamka limekatwa nikawachukia hadi leo sijawahi weka salio ila line ipo hewani sahizi ni nusu mwaka sijawahi weka vocha voda nikiwa nashida natumia line nyingine mwenye shida na mimi wanapiga ila ndo voda nako siwezi kuja weka salio!