Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
kwa nini speed itofautiane kulinga na eneo, mfano mtu aliye karibu na mtambo wa Dar na yule wa Kigoma. Kazi ya minara ni nini? Nilidhani minara yote inatoa speed sawa na tofauti iwe ni umbali kutoka mnara ulipo na si location ya mnara
Kaka tatizo ni hiyo mitambo ya 3.75 kuifunga nchi nzima ni shughuli/Gharama, voda wenyewe 3G unapata mikoani tu, wilayani ni edge kwa kwenda mbele!