Airports must be equipped with wireless Internet

PascalFlx

Member
Joined
Feb 11, 2009
Posts
68
Reaction score
5
Wiki iliyopita nikitokea Dar kuelekea Nairobi na ndege ya asubuhi sana (inaondoka Dar around saa kumi usiku), Kutokana na matatizo ya mawasiliano (Nairobi) ndege nyingi zilizokuwa zinaelekea huko, zilichelewa na nyingine kama Turkish airline iliyoruka kuelekea huku ilibidi irudi Dar.Ndege yetu ilichelewa zaidi ya masaa mnne, tukabaki tunaangaliana tu pale Airport...,
Leo hii nipo hapa Dubai transit, Wireless internet connection iliyopo hapa imeniwezesha kuendelea kufanya kazi zangu ndogo ndogo na ku-catch up on what's going on.., hivyo pinch ya kusubiri connection yangu kuwa ndogo.<br>Nadhani sasa muda umefika wa Airport nyingine kuweka Wireless Internet connection ya BURE, kwa abiria wao wanapokuwa transit ili at least kuwafanya waururahie muda wao wa kusubiri connection zao.
Na hii nadhani liwe jukumu la Airport authority kuhakikisha huduma hiyo inatolewa either na wao wenyewe au kampuni za ndege,. maana katika kiwanja chetu cha "Kimataifa" cha ndege hata hiyo ya kulipia hamna.
 
Ni vizuri umeliona hili. Tanzania tuko nyuma kwa kila kitu. Lakini suala la msingi hapa ni kwamba tungekuwa na airline mama kwa maana ya airline inayopeperusha bendera ya nchi, ingeweka internet ili connecting passengers angalau wawe busy wakati wakisubiri connection. Sasa shirika gani la ndege litaweka hiyo internet wakati kwa utaratibu wa kawaida abiria anapashwa kuwa pale 2 hours kabla ya ndege kuruka na mashirika yanayokuja kuchukua abiria Dar hayaoni kama yana sababu ya kuweka internet. Pale Addis Ababa, kuna internet ya cable na wireless na huduma inatolewa na Ethiopian Airline. Hata Nairobi Jomo Kenyatta kuna wireless pia. Viwanja vyote vikubwa kwa sasa vina internet. La kujiuliza nani agharimie hiyo internet? Kwanini unafikiri TAA inapashwa kugharimia hiyo internet? Wao watafaidika vipi na kuwepo kwa internet pale JKNIA?

Tiba
 
Tatizo ni kwamba bado kuna wengi wanaofikiri internet ni anasa!
 
hilo ni kweli hata ukifika uwanja wa ndege wa Khartoum,internet ni bure kabisa zinakufanya usichoke kabisa unashituliwa na tangazo la boarding!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom