Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
Sasa yapata mwezi mzima nadhani kuna maji ya choo yameziba, infact inahuzunisha sana kuwa kile ndio mmoja kati ya viooo vyetu kama Taifa lakini sasa hizi ni zaidi ya mwezi hali ni mbaya sana
Hapo hatujazungumzia wizi unaofanywa na security staff pale kwenye scanners au wale the so called Immigration au Usalama wanaokaa pale mlangoni kuwabugudhi wageni wanaoingia bila sababu za msingi
yup hiyo ndio Tanzania ya 2010
nahisi ni yule manager wa BUDEGE, kampuni ya kuzoa taka, ana manage airport pia.Hivi manager wa ile airport ni nani?
Ile ni gereji .. u can't expect anything to be in order. hivi ile elevator inafanya kazi? lol
kaaz kwelikweli.
Aise! Panakera sana! Huwa pananuka na wafanyakazi pia huwa wananuka! Oh! Shabash!
hali bado mbaya. vypp vimeziba escalators hazifanyikazi, mkanda wa kutoa mabegi nao haufanyi kazi na wale immigration uchwara mlangoni bado wanasumbua watu