Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Sasa yapata mwezi mzima nadhani kuna maji ya choo yameziba, infact inahuzunisha sana kuwa kile ndio mmoja kati ya viooo vyetu kama Taifa lakini sasa hizi ni zaidi ya mwezi hali ni mbaya sana
Hapo hatujazungumzia wizi unaofanywa na security staff pale kwenye scanners au wale the so called Immigration au Usalama wanaokaa pale mlangoni kuwabugudhi wageni wanaoingia bila sababu za msingi
yup hiyo ndio Tanzania ya 2010