Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Tatizo letu tumegawanyika kweli kweli mpaka non issues zinageuka major issues. Kwenye aviation sio ajabu engine kuzingua. Tatizo labda ni manunuzi ya hizi ndege, mikataba inasemaje? Isije ikawa hata ikiharibika mapema hivi mzigo wetu
 
Nchi hii tumejaa majungu sana, wajane wapo siku zote tangu enzi za Yesu hawawezi kusaidika kwa pesa za ndege.
Magufuli nunua ndege zingine lkn kwa utaratibu.
Ujio wa airtz umeshusha bei za usafiri wa anga sana na sasa Precission air wameshusha hadi 50k na 91k
 
Muongezee kuwa ndege ikishatua na hata kabla haijaruka huwa inafanyiwa service?

Ndege ilifanyiwa services au ili kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara tusiingize hasara imebidi tupunguze baadhi ya matumizi?
 
Yeuwiii! Mambo yameanza kukorogeka.
 
Tushukuru Mungu ilikuwa bado haijapaa juu zaidi futi 27000 huko ndiyo hali ingekuwa mbaya sana
 
Mkuu ameogopa kuitwa beberu
 
huu mteru sasa........sijui ni cancel flight yangu ya kesho??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…