Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Kwa hiyo ndege zenu hazipaswi kuwa na hitirafu kabisaa, kana kwamba zimetengenezwa na Mungu eti ee? Kama ilivyo kwa Gari hats ndege hivyo hivyo zinaharibika na kutengenezwa!
 
Mwewe brand new.....[emoji45]
brand new wapi,warudishe nauli za watu,hawana business plan,jiwe hana akili ya kuendesha kampuni hiyo, anaweza tu kuwateka chadema,nawashauri watanzania wasipande ndege za jiwe watakuja kufa huko angani,hii warning
tu
 
Hii biashara hovyo kabisa kwa Tanzania, kila siku matengenezo ya ndege huku wananchi Wake hohehahe
 
umetokwa na povu mkuu au kodi inaelekea mwishoni
 
Hii biashara hovyo kabisa kwa Tanzania, kila siku matengenezo ya ndege huku wananchi Wake hohehahe
ndo upumbavuu wa jiwe huu hapo work done is equal to zero,ushamba ni kitu kibaya sana,mbaya uwe mshamba afu umechanganyikiwa kama alivyosema comrade kinana
 
ndege mbovu hiyo watanzania msipande kabisa
 
Tatizo letu tumegawanyika kweli kweli mpaka non issues zinageuka major issues. Kwenye aviation sio ajabu engine kuzingua. Tatizo labda ni manunuzi ya hizi ndege, mikataba inasemaje? Isije ikawa hata ikiharibika mapema hivi mzigo wetu
Tumenunua Cash tumeshamalizana. Tungenunua kama wenzetu KLM,British airways na wengine wanalipa 10% kwa hiyo bado tungekuwa tunadaiwa kwa hiyo wanaiangalia ndege yao.
Sisi ni matajiri hayo ni mambo madogo madogo kwetu
 
Umeharibu kuweka ushauri wako usio na weledi.

Vinginevyo tunashukuru kwa taarifa juu ya dege letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…