Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,990
- 135,189
Tutaenda na ndege, mimi na abiria wengine yakiwemo mazigo.Utaenda nanani?
P
Tutaenda na ndege, mimi na abiria wengine yakiwemo mazigo.Utaenda nanani?
Kwa undani ni shuttle services za hao vingunge wa umma wanaojikuta wanatumia gharama kubwa kwa "kulinda heshima" ya makao makuu Dodoma na Bandari Salama.lakini walipa kodi tunaumizwa.Hii super, sasa tutaenda Dom asubuhi na kurejea Dar jioni. Kama Mwanza na Kia.
Hongereni sana ATCL.
P
Kadi ya CCM unayo?Hii super, sasa tutaenda Dom asubuhi na kurejea Dar jioni. Kama Mwanza na Kia.
Hongereni sana ATCL.
P
Kwani mh. Mic ameshakuita kwenye kamati tena?Tutaenda na ndege, mimi na abiria wengine yakiwemo mazigo.
P
Huku kujikaanga kwa mafuta yako ni sawa na serikali kutumia mapato yake kugharamia gharama zake kufidia matumizi yake. Kifilosofia hii inatukumbusha kinachoitwa doctrine of swine objection to utilitarianism.Kwa undani ni shuttle services za hao vingunge wa umma wanaojikuta wanatumia gharama kubwa kwa "kulinda heshima" ya makao makuu Dodoma na Bandari Salama.lakini walipa kodi tunaumizwa.
Kwa undani ni shuttle services za hao vingunge wa umma wanaojikuta wanatumia gharama kubwa kwa "kulinda heshima" ya makao makuu Dodoma na Bandari Salama.lakini walipa kodi tunaumizwa.
Dodoma ni mzigo mkubwa sana hakuna ulazima hasa kwa wakati huu...Exactly.
..ni GHARAMA / HASARA za kuhamishia makao makuu ya serekali Dodoma.
..kwa maoni yangu Dodoma kuwa makao makuu ya bunge ilikuwa inatosha kuuenzi uamuzi na ndoto ya Mwalimu Nyerere.
Mkuu hata mimi nimeona hiyo lugha imenishitua kidogo.Disclaimer:
There are daily flights Monday to Sunday including the added flights!
----------------
Shirika zima la ATC ikiwemo idara yao ya sheria hawajui matumizi ya neno "disclaimer"
Which means kuna mambo kibao ya kitaalam na kiuendeshaji hawayaelewi hawa watu
Nauli tshs ngapi?Hii super, sasa tutaenda Dom asubuhi na kurejea Dar jioni. Kama Mwanza na Kia.
Hongereni sana ATCL.
P
itakuwa bure maana mleta mada hata hajui kituNauli ipoje?
hivi ile tabia ya kamababako ni kada wa chama unapanda ndege bure bado ipo,,,?
Kama ipo niwai dom asubuhi kupiga mswaki,,jioni nirudi dar kula kuku wa kuchoma kwa muchacho kariakoo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi nimeona hiyo lugha imenishitua kidogo.
Nikasema nina safari ndefu sana ya kujifunza kiingereza.
nauli dar to dodoma tsh 270,000 tu, very cheap
mimi nashangaa shirika linakubalije mtu mmoja aandike kitu kinachowafanya wote waonekane hawakwenda shule sawa sawa?
Disclaimer maana yake hicho nilichokueleza, nilichoki claim, kuna wakati hakiko hivyo. Simple.
Utasemaje "Disclaimer: ratiba nyingine za kawaida zitaendelea kuwepo"!
Vilaza hawa watakuja kuua watu hawa ATCL hawa!
Good news kwa kweli na uhakika itakuja siku itakuwa daily 2 flights sababu kuna wateja wengi route hii na kila bei zikiwa attractive abiria wataongezeka sana. jiji la kibiashara na mji mkuu kuwa na daily flights mara 2 kwa siku ni hatua muhimu sana na uhakika huko mbele zitaongezeka sana.Hii super, sasa tutaenda Dom asubuhi na kurejea Dar jioni. Kama Mwanza na Kia.
Hongereni sana ATCL.
P
Being cheap or expensive is a relative term. Something expensive to you may be well affordable to the other. Angalau bei ijulikane kwa uwazi ili wateja wajipange, na kujipanga ni pamoja na kuangalia altenative transport means inapoonekana huwezi kumudu nauli ya ndege. Sio kila kitu ni disclaimer tu. Haya ndiyo matatizo naweza kuhisi kuwa labda ni matokeo ya kuweka lawyers kwenye marketing.Siyo cheap hiyo!
Kwa mtu mwenye maisha ya wastani ni ghali sana!
Saingine inabidi usafiri na familia utakupa shs ngapi unazani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona huwezi kumudu nauli ya 270,000/= usife moyo panda super champion nauli 15,000/= ukibagain ha 10,000 wanachukua, hahahaSiyo cheap hiyo!
Kwa mtu mwenye maisha ya wastani ni ghali sana!
Saingine inabidi usafiri na familia utakupa shs ngapi unazani?!
Sent using Jamii Forums mobile app