Air Tanzania yaongeza safari za Dodoma

Air Tanzania yaongeza safari za Dodoma

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Air Tanzania itakuwa na safari mbili za nyongeza DAR - DODOMA/DODOMA - DAR siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kuanzia 18/03/19.
1552404299042.png
 
Basi weka siku na masaa yake ili ueleweke vizuri. Mon, Wed & Friday
 
Disclaimer:

There are daily flights Monday to Sunday including the added flights!

----------------

Shirika zima la ATC ikiwemo idara yao ya sheria hawajui matumizi ya neno "disclaimer"

Which means kuna mambo kibao ya kitaalam na kiuendeshaji hawayaelewi hawa watu
 
Back
Top Bottom