Bullycheka
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 560
- 493
Mshana jr; Yawezekana wapo hao watu ila si wale waliokuwa wanasemekana wanawanyonya watu dam ila ni km jamii ya wanyonya dam waliotambulika wakt ule.Mshana jr; wapo hao watu ila wale waliokuwa wanasemekana wananyonya damu.
maelezo tu yanatosha mkuu usiweke picha zaidi za mtindo huu bila warning kwa mtazamaji
Wewe ni nani hadi uamue nani anapaswa kuzaliwa na yupi hapaswi? Na kama una huo uwezo utashindwaje pia kuwa muuwaji?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msisome maandiko humu mkiwa fyatu au hi jamani. Ni wapi mshana jr amesema kuna watu hakutaka wazaliwe. Soma taratiib utamuelewa tu. Halafu kuna kaharufu kuwa kama na wewe ni miongoni mwa makundi tajwa mojawapo hapo
hapana ilikuwa katavi, sehemu inaitwa inyonga kisa ilikuwa wivu wa mapenzi jamaa akakodi watu toka tabora wakamuua huyo jamaa. ila walikamatwa
Yani ww hujawahi kutoa comment za maana zaidi ya miguno na vinukta tu...[HASHTAG]#anyway[/HASHTAG] acha nipambane na hali yangu.mmmh
bando langu naandika nachojiskia cc JoowezeyYani ww hujawahi kutoa comment za maana zaidi ya miguno na vinukta tu...[HASHTAG]#anyway[/HASHTAG] acha nipambane na hali yangu.
Atleast leo umejitahidi kuandika maneno zaidi ya mawilibando langu naandika nachojiskia cc Joowezey
[emoji15] [emoji15] [emoji15] soup maker [emoji779] [emoji781] [emoji844] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hawa cold blood killer ukiwatafakari nadhani wanahitilafu kwenye mioyo yao. Kuna muhuni mmoja alikuwepo Mexico yeye alikuwa akitumbukiza miili ya watu kwenye pipa la tindikali. alidump miili 300 kwa miaka kumi. Na ndio ilikua 'ajira' yake rasmi kwenye cartel hyo. Aliitwa SOUPMAKER.
Wauaji wenye kibali.. Wauaji kwa ruhusa.. No offense
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbuka kuna vigezo na masharti pia