Aina za wake (Type of wives)

Aina za wake (Type of wives)

Yani my dear inaenda inachange 😀😀😀
Mimi ni too much mibembelezo ndo mambo yngu had kunamtu alinambia nitateseka sana nikipata asiejua kudekeza na kweli now nimepona nilipata kiboko hasa 😃
Nashkuru kumbe sipo mwenyewe
Kuna huyo anajua kubembeleza kuna siku alinibadilikia niliona kama anataka anipige sio kwa zile hasira😂
Akili zilizoniruka mbona zilirudi😂
 
😂😂😂Mimi niliambiwa "mm mwanaume sio mvulana nishavuka huko kwenye bby bby ujinga sitaki kusumbuana sitaki kuongea ongea siwez 😃😃😃nikanyooka
Yeye Mpe bills alipie Kodi mwambie unatak kupendeza unaumwa ooho hapo sawa hayo mengine 0😂😂😂
ephen_
Yah..na huu ndio ukwel mkuu, huyo mwamba yuko honest. Sasa assume ukute mchiz baddo hajajipata haya huo upuuzi anaanza vipi ku deal nao?
 
Nashkuru kumbe sipo mwenyewe
Kuna huyo anajua kubembeleza kuna siku alinibadilikia niliona kama anataka anipige sio kwa zile hasira😂
Akili zilizoniruka mbona zilirudi😂
😂😂😂Mwenzio sikuhiz nimepona Bado kidogo nitakuwa serious 😂😂😂Kuna wanaume Wana roho ngumu
 
Sitaki ushauri wako
Mimi nishakufa nishaoza🤸
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
 
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
Nimekufa nimeoza naomba uniache..!!
 
Shida hawa wamama hawajui kipi kinawatosheleza.
Jichanganye unajua kujaza pesa kama hajaanza ngonjera"ninahudumiwa ila furaha ya mapenzi siipati".
Lamamayeee.
Pesa yangu haihusiki kwenye mapenzi , mpaka TBS wafanye kazi yao kikamilifu mdio pesa inaanza kuwa applied.
Yan nikutie, nikubembeleze na bado nikupe hela? Aah no way..
 
Tena haya mapenz ya kufa kuoza ndio vijana siku hiz hawataki hatavkwa mbali.

Tunataka watu ambao wako mguu uoande mguu sawa hata ukimpiga kibuti unakua huna was was wa yy kunywa sumu akutie matatizoni
Huyu si wa Songea!?
WaSongea wakizama mapenzini kama wanaenda kupigana jihadi aisee!
Unaweza ukajuta kuwapenda.
 
Shida hawa wamama hawajui kipi kinawatosheleza.
Jichanganye unajua kujaza pesa kama hajaanza ngonjera"ninahudumiwa ila furaha ya mapenzi siipati".
Lamamayeee.
😃😃😃Kwa kifupi tunataka vyote Yani tupewe vyote sie tunaopenda kubembelezwa ndo tunaumia zaidi 😃😃😃
 
Back
Top Bottom