Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
😂😂😂😂watu waoga had mkiitwa kwenye maombi mnahisi ni mtego 😃Aiseee!
Hapa ndipo napata picha kwanini Adam aliweza kushawishiwa na Hawa kula tunda bila kupinga.
😂😂😂😂watu waoga had mkiitwa kwenye maombi mnahisi ni mtego 😃Aiseee!
Hapa ndipo napata picha kwanini Adam aliweza kushawishiwa na Hawa kula tunda bila kupinga.
🙄🙄🙄Aaah weeh!Tutaenda wote takupigia tunakaa kijasusi
Utanichagulia dressing code😂😂😂Mambo si ndio hayo
Karibu sana
Weeeh!Ilinikuta hii kitu mpaka leo sitembelei nyumba ya binti wa kipemba/kizanzibari ng'oooo.😂😂😂😂watu waoga had mkiitwa kwenye maombi mnahisi ni mtego 😃
Iongeze tukujue😂😂😂Sio kweli mm yangu haipo mbona
Kwani sheikh huhitaji mke wa pili?🙄🙄🙄Aaah weeh!
Ili itoke idhini usikie "Aaliyah enda ukamuandae na Safiya,maana huyu kijana alokuja na Mpaji Mungu amfaa sana,wacha tumalize ndoa ya pili".
Mkuu eb funguka kidogo🤣🤣🤣🤣Weeeh!Ilinikuta hii kitu mpaka leo sitembelei nyumba ya binti wa kipemba/kizanzibari ng'oooo.
😂😂😂
He he he heeeee!Kwani sheikh huhitaji mke wa pili?
Mimi sio Mpemba 😂😂😂acha kumtisha mwenzio🙄🙄🙄Aaah weeh!
Ili itoke idhini usikie "Aaliyah enda ukamuandae na Safiya,maana huyu kijana alokuja na Mpaji Mungu amfaa sana,wacha tumalize ndoa ya pili".
🙌😂😂😂He he he heeeee!
Mke wa pili halafu awe wa kizanzibari!?
Huna haja ya izraeli mtoa roho.
Usijali ilo halina shida kabisaUtanichagulia dressing code
😂😂😂Weeeh!Ilinikuta hii kitu mpaka leo sitembelei nyumba ya binti wa kipemba/kizanzibari ng'oooo.
😂😂😂
Unapenda Ujiko🤣@manyaza unaweza kukisia tabiayangu? namba iongeze hapo chini
😂😂😂😂Wala nambayangu ngumu ni mwizi na mengine mengiUnapenda Ujiko🤣
Kuna jamaa yangu bhana ni Myemeni anafanya kazi kampuni ya FMS.Mkuu eb funguka kidogo🤣🤣🤣🤣
We wa wapi mkuu!?Mimi sio Mpemba 😂😂😂acha kumtisha mwenzio
Mwiz wa Mapenz au ?😂😂😂😂Wala nambayangu ngumu ni mwizi na mengine mengi
Kisa chako kinachekesha Sheikh! Sasa hao wadada nao wanakubalije chap chap waolewe bila kupitia hata uchumba mjuaneKuna jamaa yangu bhana ni Myemeni anafanya kazi kampuni ya FMS.
Kuna ndugu wa mbali uko Unguja aliposwa kama mara 2 wachumba wamelipa mahari siku ya ndoa wanakimbia.
Sasa binti akawa mnyonge analia sana.
Siku jamaa yangu akaambiwa na baba ake nenda Bububu kule ankal wako anakuita,jamaa hajaambiwa anaitiwa nini.Akajiandaa kuja,kipindi anajiandaa kuja mie nilikua nipo Unguja teyari nimefikia Zantel,Zantel na skuli sio mbali.
Alivyofika akanicheki siku inayofuata tukaongozana pamoja,maana jamaa ni mgumu kulala sehemu nje na nyumbani hata ikiwa kwa ndugu,alikodi lodge asubuhi akaja tukaongozana.
Kufika jamaa anakuta halwa,visheti na kashata za kushantaa,mabirika ya maziwa na kahawa,mikeka ya kushanta.
Tukakaribishwa bwana.
Eeeeh!Kukaa na kukaa ikapigwa duah jamaa akaambiwa itabidi umuoe binam yako tena mchana wa saa saba.
Mahari babayo kashakulipia saa saba baada ya swalah ya adhuhuri unaoa.
Aiseee!😂😂😂nilipigwa na butwaa.
Kukaa na kukaa mama mtu akadakia.
"Halafu huyu jamaayo aonekana msomi na miwani yake,embu muite tuongee naye".
Mkuu niliulizwa maswali,na mimi nilivyo bwege nikafunguka.
Aiiiish!Natoka sebuleni baada ya ndoa ya jamaa tukazuiliwa kuondoka.
Mama wa mabinti akasema "vijana wapo mabinti tunao,huyu kijana kama Balawi anamfahamu uzuri kwanini tusimpe Zakia amuoe!?Zakia mkubwa vooo na azeekea nyumbani".
Shekhe bimdashi alinishawishi yani kama ananitongoza vile.
Mie nilikataa nikidai nishaoa.
Alisisitiza hadi kuongeza mke wa pili nilimwambia ndoa haitaswihi kwa kulazimishwa.
Basi tulilala asubuhi jamaa akanipa jukumu la kumsindikiza na mkewe hadi Dar.