Aina za vitambi na sababu zake

Mkuu kitambi cha kufutia simu mbona hujakiweka au hakijakidhi vigezo vya kua kitambi. Hicho huwapata wale vijana walioanza anza kazi au ambao maisha yameanza kunyooka

Unaweza kukiita kitambi namba 101
 
Jamani mbona mnatudhalilisha...
 
Unamwonea huruma ya nini, hebu nipe story ili na mimi nianze kumwonea huruma

sema pita ni balaa, unaweza ukazimia akivua nguo[emoji1787][emoji1787]
Namwonea huruma kimwili, sawa sawa na Bajaji ikigongana na Scania mzinga wake.

Kwa unene huo huyu jamaa ana uwezo wa kumfikisha huyo dada wa watu uhuru peak??? Kwa mauno gani au kwa pumzi gani??. Hapo akipiga kimoja tu inabidi apate mwezi mmoja wa ku recover afya. Akienda viwili haki ya mungu hasimami, magoti lazima yatetemeke kama daladala limechomoka tairi.
Nimekuwekea picha ili uone ninacho maanisha mkuu.[emoji6][emoji39][emoji378]
 
You are crazy[emoji23][emoji23][emoji23], stop that dirty mind of yours, kwani mke wake kakulalamikia? Ila umenichekesha sana
 
You are crazy[emoji23][emoji23][emoji23], stop that dirty mind of yours, kwani mke wake kakulalamikia? Ila umenichekesha sana
Excuse you ma'am, i have travelled through madness to find me, so mischief is part of my charm. [emoji4]

Mke wake sio kwamba amenilalamikia, kwanza hata jina lake simjui. Ila for real i can feel that, i can feel her cravings and and and and and. . . . . .

Unajua hamna viumbe wenye roho ngumu kama wanawake, wana roho ngumu kweli katika hii dunia, wanawake wanaweza kupitia mambo magumu kuliko maelezo na wasiseme kitu (Mfano mama zetu) aka act kila kitu kipo okey.

Na mfano mzuri wa design hio ya wanawake, ni kama huyo mdada kufanya maamuzi magumu ya kuolewa na mume mwenye 150 KG's OF STRESS. She is way strong than any human being could be.

Hapo tusidanganyane eti kampenda vile alivyo. Money makes the world go around.
 
Well, we can't speak for her, just let them.enjoy that body acha wivu[emoji28][emoji28] ila sijui aliwaza nini, labda alihisi wakiingia kwenye ndoa atamsaidia kupungua

Ila pia we should not judge from our side, inawezekana miili mikubwa ndio swaga zake, kama tu vile kuna wanaume wanapenda miili mikubwa same applies to women, kuna wanaopenda mipande kama ya pita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…