CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
maua saa sita.
Maua mironjo
maua mgomba
na maua mchicha
maua saa sita.
Maua mironjo
maua mgomba
na maua mchicha
Maua flani yanaitwa usiniguse
Mimi nilidhani c.l. Ni mchichana mdhoko kumbe ni mchichana wa dhamaniiii.
mie maua yamenikalia kushoooooooto....
Ingawa kwa mbaaali napenda roses na night qeen .......
Ila shughuli za kulima, kupanda na kumwagilia maua zimwnikalia kushoto, hata ya mchina siyapendi huwa yananikera
ua usiniguse lipoje Arabela?
maua usiniguse ni yale ukiyagusa tu yanasinyaa, yanatambaa, we ukipita tu utayaona yote yananywea, na kuna ua moja cjui jina ambalo jani lake ukilipanda linaota na linakuwa na mizizi na mti unakuwepo, lkn hapo umepanda jani tu.
Yanaota huku yanajivingirisha kama ngata.