aina za maua

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,257
12,877
habari zenyu bhana!
unazikumbuka aina za maua? me nakumbuka maua pesa, karikiti na kitenge. enzi hizo tunashindana kupanda maua.tena ukimtembelea rafikio must uangalia ni ua gani kwenu halipo then unamuomba. dah siku hizi mchina katuharibu na ma-artificial yake, tena watoto wa siku hz hawana habari na kupanda maua kabisaaa!!!!!!!
 
Mimi nilidhani c.l. Ni mchichana mdhoko kumbe ni mchichana wa dhamaniiii.
 
mie maua yamenikalia kushoooooooto....

Ingawa kwa mbaaali napenda roses na night qeen .......

Ila shughuli za kulima, kupanda na kumwagilia maua zimwnikalia kushoto, hata ya mchina siyapendi huwa yananikera
 
hahahaa BT hata kale kautoto ka kupanda maua hukuwaga nako?
 
ua usiniguse lipoje Arabela?

maua usiniguse ni yale ukiyagusa tu yanasinyaa, yanatambaa, we ukipita tu utayaona yote yananywea, na kuna ua moja cjui jina ambalo jani lake ukilipanda linaota na linakuwa na mizizi na mti unakuwepo, lkn hapo umepanda jani tu.
 
Last edited by a moderator:

ok Kijino hayo maua usiniguse nimeyakumbuka na ninayafahamu. ila yana jina hv sema nimelisahau. nikikumbuka ntakwambia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom