Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Mshana asante kwa taarifa hii,ila itakuwa busara kama utamaliza assignment yako to 99,maana nasikia idadi ya koo za majini ni 99.

Halafu Mshana naomba ufafanuzi,hivi kuna siri gani katika namba 9 au 6,maana Dajjal naye namba yake ni 666,na naona makampuni ya simu nayo siku hizi yanatumia sana namba 9 au 6.Kwa mfano,Vodacom,*149*99#,*149*66#.Na Vodacom hiyo hiyo ukicheki kwa makini utagundua kwamba logo yao ni 6.Airtel wana kifurishi cha Sh.1,999 na hata wao ukicheki logo yao utagundua kwamba ni 9 ya kuzuga.Infact hata kwenye international companies trend hii ipo sana.Kwa nini so much of 9 and 6 and not the other numbers and why now.Karibu Mshana tafadhali nisaidie.
999 ama 666 ni ile alama ya mnyama mpinga Kristo aliyetabiriwa kwenye ufunuo
 
999 ama 666 ni ile alama ya mnyama mpinga Kristo aliyetabiriwa kwenye ufunuo
Kwa hiyo ina maana makampuni yanayotumia hiyo namba yana uhusiano na Mpinga Kristo au Dajjal?Na kwa nini waitumie hiyo namba na zaidi sana na wazi zaidi sasa?

Finally Mshana, naweza kusema majini ni watumishi wa Mpinga Kristo na yanatekeleza agenda za Mpinga Kristo?Msaada zaidi tafadhali.
 
Kwa hiyo ina maana makampuni yanatumia hiyo namba yana uhusiano na Mpinga Kristo au Dajjal?Na kwa nini waitumie hiyo namba na zaidi sana na wazi zaidi sasa?
Ndio namba inayotamba sana ngoja kuna mada naandaa nitakutag
 
Mkuu majina ya Watu hayahusiani ni Imani yeyeto.Majina ni ya Mashariki ya kati Na Ulaya.
Historia ya uchawi Na majinni imeandikwa katika nchi za mashariki ya kati Na Lugha zinazo tumika ni Kiarabu,kiajemi (kifarsi)Na kihibru(kiyahudi). Hayo majina ya majinni ya yameitwa kutokana Na lugha zao. Ukiandika kitabu kuhusu maajabu ya Rufiji majina ya Kindengereko yatakuwemo.
hahaaa ..safi "" uchambuzi mzuri sana
 
mshana anajini moja hivi linaitwa MUTALAWAYBU
Jini hill linalenda kutisha watu balaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mm mwaka 2010 niliota natongozwa na ɓinti mzuri sana jina lake aliniamɓia anaitwa aisha ɓint afrit...aliniamɓia kwao ni chini ya ɓahari na ɓaɓa yake ana maɗini ya ɗhahaɓu na almasi mengi sana so amenipenɗa na inatakiwa anipeleke kwao.Aliniamɓia kesho angenipa pete eneo fulani hivi na kweli nilivyoamka nikaenɗa kutazama nilikuta pete ya ɗhahaɓu nzuri sana
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144]
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144]
Yaan ɓrother hii ni true story kaɓisa ilinikuta ni nilikumɓana na mauzauza mengi sana huyu ɓinti alikuwa ana sura ya ɓinti wa kihinɗi hivi au kiaraɓu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom