Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,102
Mavitu yako mengi ya kichawi chawi sana,hanni avae,yaani wateamue kabitha iti we uwakwe Shetani,mm.Nimefanyaje tena kwani[emoji15][emoji2827]
Mavitu yako mengi ya kichawi chawi sana,hanni avae,yaani wateamue kabitha iti we uwakwe Shetani,mm.Nimefanyaje tena kwani[emoji15][emoji2827]
Hii sio lugha ya Kijini kweli hii Profesa Mshana Jr, ?Shigha avae.. Idhi mburi idhi.. Shigha du avae![emoji2827][emoji2827][emoji2827] Shigha vichike[emoji848][emoji2827]
Hahaha Che mittoga acha vituko .. Hicho ni kikwetu kaka[emoji3]Hii sio lugha ya Kijini kweli hii Profesa Mshana Jr, ?
Mbona ninapoisoma mwili unasisimka kama nimekanyaga Nyoka [emoji1714][emoji3571][emoji3571][emoji3571]
Haya mambo yako kanda za pwani tu huwezi yasikia Uthangi akakotoka Mshana JrHuyu jamaa ni msomi, mtaalamu wa umeme alisoma nje akaja na mke wa kizungu lakini ugomvi ukawa hauishi wakatalikiana, sasa hivi kkaoa mke mbondei akapata nae watoto, ila kazi ndio shida, kila anakopeleka cv, hola aliporudi ndio alikuwa bosi wa kiwanda fulani akapewa na nyumba uzunguni na gari juu, ila alifukuzwa kazi na akawa anaishi kwa kuomba omba kashinda kesi ya kupinga kufukuzwa kazi akapata hela akaenda kuchimba madini , mweee! anaona dalili zote ila mashimo ya wenzake yanatoka madini kwake hola, kila siku anaishia kusema dalili nzuri wiki hii yatoka wapi? mpaka kaishiwa, wazee wakamwambia acha kujitia ubishi kwa usomi wako wewe ndie unatakiwa urudi uchukue mikoba, mbona alirudi msomi lakini mganga wa kienyeji dah! maisha haya yanaogopesha sana.
hapa lazima uwe na software ya anti-jini husika kwenye computer tunasema anti-virusizipi ni njia za kuya deactivate
Ha..ha...[emoji28] kuna mtu alinisimulia kuwa hivyo vijini vilikuwa vitendea kazi vyako tu, hapo zamani.Mshana Jr, ni zaidi ya Jinni.[emoji848][emoji3064][emoji23] Duh..[emoji23]
Hiki kiambatanisho ulikichoweka mbona hakifunguki.
[emoji106][emoji1666]
Kwenye uzi wa kimasihara yamejaa kuleMajini mahaba yanaangukia wapi hapo...!!