Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

Kuleni mbuzi katoliki Mara kwa Mara hakuna jini atakayekusogelea
 
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza.

Mada hii ni maalum kwa ajili ya kutambua aina za majini na kazi zake
Kuna wakati katika jamii unaweza kumshangaa mtu au hata kugombana naye kutokana na tabia zake na mambo yake huyu si wa kulaumu sana saa nyingine si yeye bali ni jini, hata hapa JF tunao wengi tuu.

Kimsimgi wapo majini tofauti tofauti zaidi ya 60 lakini kazi zao kwa sehemu kubwa zinaingiliana hivyo nitaweka baadhi tu ambayo kwa kiasi kikubwa ndio hubeba mambo mengi fuatana nami.

1. SUBIANI - hili ni jini linalosababisha ajali na lenye kuzuia hedhi kwa mwanamke, lina penda sana damu hasa hiyo ya hedhi.

View attachment 342303

2.MURAFARI- hili ni jini la kuzuia mafanikio ya kimaisha kielimu na hata kipato, ukitupiwa hili jini utahangaika sana na maisha.

3.LATIFU- jini la mateso ufukara na matumizi ya hovyo unakuwa ni mtumwa wa kupata kupoteza na kutumia bila tija.

4.JAHARI-jini jizi la biashara, unafanya Sana biashara lakini huoni ustawi wala mafanikio yoyote.

View attachment 342305

5.HASINANI- Jini la fujo ulevi wa kila aina bhangi sigara madawa pombe nk

6.JUBE- Jini la utasa, hili unaweza kutupiwa tu na mbaya wako au ukiwa mtoa mimba au mpiga puchu mahiri.

7.RUYATI- ndoto mbaya, ukiacha ndoto maono au ndoto ujumbe , hizi ndoto za kutisha husababishwa na jini ruyati.

8.TAJARUNI-hili ni la utajiri wa masharti ya kutoa kafara la ndugu na kufanya ngono na mzazi au mwanao.

9. WAIDADAT- jini linalomfanya mwanaume aige mambo yote ya kike kuanzia tabia mpaka mavazi.

View attachment 342307

10. ALIBADIRI- Ukitupiwa hili kwa sababu yoyote ile hasa kutenda uovu huponi.

11.ANZURA -kuzuia ndoa hasa kwa wanawake, utakuta binti mzuri kakamilika kila idara lakini anaishia kuposwa tuu.

12.MAIMUNA- jini mfarakano wa kuleta magomvi kwenye ndoa hatimaye kuvunjika.

13 . MAKATA- Jini makata ni noma hili likiingia kwenye familia au ukoo basi vifo vitafululiza mpaka mbaki wachache kabisa.

View attachment 342306

14.TARIK- jini hili hufarakanisha marafiki watu wanaofanya biashara pamoja kwenye vyama nk nk..likishaingia mahali hili lazima kinuke.

15. JINI WIVU KIJICHO NA ROHO YA KWANINI-hili bwana hili popote litakapoona new post ni mtu fulani sikilizia mashambulizi yatakayofuata.

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika mambo yote hayo hakuna jini lolote linalofaidika na chochote bali kumletea shida mwanadamu ili afarakane na mola wake
Kumbuka kuna majini ya kutupiwa kutumwa na yale yanayofanya kazi yenyewe kwa utashi wao.

==========================
NB: Picha zimewekwa ili kuleta uhalisia zaidi ingwa zinaweza zilihusiane moja kwa moja na Majina ya viumbe hawa.
Mshana Jr,elimu ya majini ulinayo ni elimu inayogubikwa na giza nene kwa watu wanaoamini sayansi ambayo mara nyingi sayansi inahitaji uthibitisho ya kitu chochote kilichopo duniani kiwe hai au si hai.Majini ni elimu ya kusadikika au kufikirika.Hakuna binadamu yeyote duniani hata huyu Mshana Jr.ambae anaweza kuthibitisha kuwa majini yana umbo gani,ikiwa majini yana umbo kama binadamu yanawezaje kuingia katika mwili wa binadamu mwenye umbo sawa na huyo jini.Au ni sehemu gani ya mwili wa binadamu ambayo ina uwazi wa kuruhusu jini kukaa.Au kama jini ni hewa ni hewa ya aina gani kwani aina zote za hewa zinajulikana.Kwa ufupi ni kwamba mtu aliekumbwa na majini kwa Waislamu na mapepo kwa Wakristo sio kwamba wameingiliwa na viumbe kwenye miili yao bali watu hao hua wamepata hitilafu kwenye brain centres zao.Kutokana na aina ya kituo cha ubongo na kiwango cha uharibifu kila mtu ataonesha aina tofauti za dalili.Hizi dalili ndizo zitakazopelekea kwa watu ambao hawana elimu ya kutosha ya sayansi ya binadamu na magonjwa yake kama akina Mshana Jr.na wengine wataishia kuita majini au mapepo.Mwisho namwomba Bw.Mashaka Jr. na wengine wenye ujuzi wa majini waniambie nitumie njia gani ili niyaone live hayo majini na ikiwezekana tuyapige na picha za video Kwa uthibitisho.Picha za majini kama Subiana nk kama alivyoonesha Bw.Mshana Jr.alizitoa wapi na alitumia nyenzo gani kuwaona hao majini.Nyenzo alizotumia tungependa na sisi tutumie.
 
Hivi hakuna majini ambayo yana majina ya Kikristu?
Samahani lakini..!!

Alafu na mimi nikitaka kuuliza mbona majina ya kiingereza hakuna yapo ya kiswahili tu. au kuna uhusiano gani kati ya majini na lugha ya kiswahili.

Au kwa kuwa mada ipo kwa kiswahili ndio maana majina yameandikwa kwa kiswahili.

Au ndio maana msahafu wa kiswahili anaitwa Yusuph. Lakini kwenye msahafu wa kiingereza anaitwa Joseph. na wengine wanamwita Yoseph. Kwa iyo kumbe majina sio dini, ila ni lugha ya sehemu husika
 
Mshana Jr,elimu ya majini ulinayo ni elimu inayogubikwa na giza nene kwa watu wanaoamini sayansi ambayo mara nyingi sayansi inahitaji uthibitisho ya kitu chochote kilichopo duniani kiwe hai au si hai.Majini ni elimu ya kusadikika au kufikirika.Hakuna binadamu yeyote duniani hata huyu Mshana Jr.ambae anaweza kuthibitisha kuwa majini yana umbo gani,ikiwa majini yana umbo kama binadamu yanawezaje kuingia katika mwili wa binadamu mwenye umbo sawa na huyo jini.Au ni sehemu gani ya mwili wa binadamu ambayo ina uwazi wa kuruhusu jini kukaa.Au kama jini ni hewa ni hewa ya aina gani kwani aina zote za hewa zinajulikana.Kwa ufupi ni kwamba mtu aliekumbwa na majini kwa Waislamu na mapepo kwa Wakristo sio kwamba wameingiliwa na viumbe kwenye miili yao bali watu hao hua wamepata hitilafu kwenye brain centres zao.Kutokana na aina ya kituo cha ubongo na kiwango cha uharibifu kila mtu ataonesha aina tofauti za dalili.Hizi dalili ndizo zitakazopelekea kwa watu ambao hawana elimu ya kutosha ya sayansi ya binadamu na magonjwa yake kama akina Mshana Jr.na wengine wataishia kuita majini au mapepo.Mwisho namwomba Bw.Mashaka Jr. na wengine wenye ujuzi wa majini waniambie nitumie njia gani ili niyaone live hayo majini na ikiwezekana tuyapige na picha za video Kwa uthibitisho.Picha za majini kama Subiana nk kama alivyoonesha Bw.Mshana Jr.alizitoa wapi na alitumia nyenzo gani kuwaona hao majini.Nyenzo alizotumia tungependa na sisi tutumie.
Sasa ndugu yangu Tyupa huku unaponda huku unajaribu kuelezea huku unajaribu kuomba msaada na ithibati! Tushike lipi sasa? Unachotaka wewe hakiwezekani kwakuwa majini ni viumbe roho
 
niliwahi kusikia kwamba mtu anaweza kuoa au kuolewa na jini au kupandikizwa majini... je hayo ni majini mema au maovu?...

je utalaam wa kuita majini au kumpandikiza mtu majini unao?

naamin, mkuu mshana jr utanijibu
 
Majini ni viumbe roho,ninachotaka mimi haiwezekani sawa,sasa naomba unielekeze ni kwa nani ambae itawezekana ili atusaidie tuyaone hayo majini kwa jinsi yeyote.Wewe kama mtaalamu wa majini umekiri kuwa haiwezekani sasa mwingine atawezaje kufanikisha kuyaona?
 
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza.

Mada hii ni maalum kwa ajili ya kutambua aina za majini na kazi zake
Kuna wakati katika jamii unaweza kumshangaa mtu au hata kugombana naye kutokana na tabia zake na mambo yake huyu si wa kulaumu sana saa nyingine si yeye bali ni jini, hata hapa JF tunao wengi tuu.

Kimsimgi wapo majini tofauti tofauti zaidi ya 60 lakini kazi zao kwa sehemu kubwa zinaingiliana hivyo nitaweka baadhi tu ambayo kwa kiasi kikubwa ndio hubeba mambo mengi fuatana nami.

1. SUBIANI - hili ni jini linalosababisha ajali na lenye kuzuia hedhi kwa mwanamke, lina penda sana damu hasa hiyo ya hedhi.

View attachment 342303

2.MURAFARI- hili ni jini la kuzuia mafanikio ya kimaisha kielimu na hata kipato, ukitupiwa hili jini utahangaika sana na maisha.

3.LATIFU- jini la mateso ufukara na matumizi ya hovyo unakuwa ni mtumwa wa kupata kupoteza na kutumia bila tija.

4.JAHARI-jini jizi la biashara, unafanya Sana biashara lakini huoni ustawi wala mafanikio yoyote.

View attachment 342305

5.HASINANI- Jini la fujo ulevi wa kila aina bhangi sigara madawa pombe nk

6.JUBE- Jini la utasa, hili unaweza kutupiwa tu na mbaya wako au ukiwa mtoa mimba au mpiga puchu mahiri.

7.RUYATI- ndoto mbaya, ukiacha ndoto maono au ndoto ujumbe , hizi ndoto za kutisha husababishwa na jini ruyati.

8.TAJARUNI-hili ni la utajiri wa masharti ya kutoa kafara la ndugu na kufanya ngono na mzazi au mwanao.

9. WAIDADAT- jini linalomfanya mwanaume aige mambo yote ya kike kuanzia tabia mpaka mavazi.

View attachment 342307

10. ALIBADIRI- Ukitupiwa hili kwa sababu yoyote ile hasa kutenda uovu huponi.

11.ANZURA -kuzuia ndoa hasa kwa wanawake, utakuta binti mzuri kakamilika kila idara lakini anaishia kuposwa tuu.

12.MAIMUNA- jini mfarakano wa kuleta magomvi kwenye ndoa hatimaye kuvunjika.

13 . MAKATA- Jini makata ni noma hili likiingia kwenye familia au ukoo basi vifo vitafululiza mpaka mbaki wachache kabisa.

View attachment 342306

14.TARIK- jini hili hufarakanisha marafiki watu wanaofanya biashara pamoja kwenye vyama nk nk..likishaingia mahali hili lazima kinuke.

15. JINI WIVU KIJICHO NA ROHO YA KWANINI-hili bwana hili popote litakapoona new post ni mtu fulani sikilizia mashambulizi yatakayofuata.

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika mambo yote hayo hakuna jini lolote linalofaidika na chochote bali kumletea shida mwanadamu ili afarakane na mola wake
Kumbuka kuna majini ya kutupiwa kutumwa na yale yanayofanya kazi yenyewe kwa utashi wao.

==========================
NB: Picha zimewekwa ili kuleta uhalisia zaidi ingwa zinaweza zilihusiane moja kwa moja na Majina ya viumbe hawa.
Jini namba 10 lunafanya niamini 100% uislamu si dini ya Mungu. Hawa majini Qur an inakiri kuwa walisilimu baada ya marehemu Muhammad kusilimu..... Sasa unakuta mtu anakomaa kuamini dini ya majini waliotupwa baada ya kufanya uasi wanaacha kumwamini Mungu wakweli.
 
Hivi vitu vipo ila nakuomba usijaribu kuvifanya ni vigumu na ni hasara tupu kuliko faida
 
Majini ni viumbe roho,ninachotaka mimi haiwezekani sawa,sasa naomba unielekeze ni kwa nani ambae itawezekana ili atusaidie tuyaone hayo majini kwa jinsi yeyote.Wewe kama mtaalamu wa majini umekiri kuwa haiwezekani sasa mwingine atawezaje kufanikisha kuyaona?
Naomba nimwalike MziziMkavu ni mtaalam anga hizi na alishawahi kuweka hata post ya jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha utakavyo
 
Jini namba 10 lunafanya niamini 100% uislamu si dini ya Mungu. Hawa majini Qur an inakiri kuwa walisilimu baada ya marehemu Muhammad kusilimu..... Sasa unakuta mtu anakomaa kuamini dini ya majini waliotupwa baada ya kufanya uasi wanaacha kumwamini Mungu wakweli.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza.

Mada hii ni maalum kwa ajili ya kutambua aina za majini na kazi zake
Kuna wakati katika jamii unaweza kumshangaa mtu au hata kugombana naye kutokana na tabia zake na mambo yake huyu si wa kulaumu sana saa nyingine si yeye bali ni jini, hata hapa JF tunao wengi tuu.

Kimsimgi wapo majini tofauti tofauti zaidi ya 60 lakini kazi zao kwa sehemu kubwa zinaingiliana hivyo nitaweka baadhi tu ambayo kwa kiasi kikubwa ndio hubeba mambo mengi fuatana nami.

1. SUBIANI - hili ni jini linalosababisha ajali na lenye kuzuia hedhi kwa mwanamke, lina penda sana damu hasa hiyo ya hedhi.

View attachment 342303

2.MURAFARI- hili ni jini la kuzuia mafanikio ya kimaisha kielimu na hata kipato, ukitupiwa hili jini utahangaika sana na maisha.

3.LATIFU- jini la mateso ufukara na matumizi ya hovyo unakuwa ni mtumwa wa kupata kupoteza na kutumia bila tija.

4.JAHARI-jini jizi la biashara, unafanya Sana biashara lakini huoni ustawi wala mafanikio yoyote.

View attachment 342305

5.HASINANI- Jini la fujo ulevi wa kila aina bhangi sigara madawa pombe nk

6.JUBE- Jini la utasa, hili unaweza kutupiwa tu na mbaya wako au ukiwa mtoa mimba au mpiga puchu mahiri.

7.RUYATI- ndoto mbaya, ukiacha ndoto maono au ndoto ujumbe , hizi ndoto za kutisha husababishwa na jini ruyati.

8.TAJARUNI-hili ni la utajiri wa masharti ya kutoa kafara la ndugu na kufanya ngono na mzazi au mwanao.

9. WAIDADAT- jini linalomfanya mwanaume aige mambo yote ya kike kuanzia tabia mpaka mavazi.

View attachment 342307

10. ALIBADIRI- Ukitupiwa hili kwa sababu yoyote ile hasa kutenda uovu huponi.

11.ANZURA -kuzuia ndoa hasa kwa wanawake, utakuta binti mzuri kakamilika kila idara lakini anaishia kuposwa tuu.

12.MAIMUNA- jini mfarakano wa kuleta magomvi kwenye ndoa hatimaye kuvunjika.

13 . MAKATA- Jini makata ni noma hili likiingia kwenye familia au ukoo basi vifo vitafululiza mpaka mbaki wachache kabisa.

View attachment 342306

14.TARIK- jini hili hufarakanisha marafiki watu wanaofanya biashara pamoja kwenye vyama nk nk..likishaingia mahali hili lazima kinuke.

15. JINI WIVU KIJICHO NA ROHO YA KWANINI-hili bwana hili popote litakapoona new post ni mtu fulani sikilizia mashambulizi yatakayofuata.

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika mambo yote hayo hakuna jini lolote linalofaidika na chochote bali kumletea shida mwanadamu ili afarakane na mola wake
Kumbuka kuna majini ya kutupiwa kutumwa na yale yanayofanya kazi yenyewe kwa utashi wao.

==========================
NB: Picha zimewekwa ili kuleta uhalisia zaidi ingwa zinaweza zilihusiane moja kwa moja na Majina ya viumbe hawa.
Mmmmh kila MTU na fani yake
 
Hongera Mshana Jr kwa kuweka mada za kina zenye lengo la kuelisha jamii.
 
Naomba nimwalike MziziMkavu ni mtaalam anga hizi na alishawahi kuweka hata post ya jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha utakavyo
Huyu Jamaa anataka kuwaona Majini? Mwambie achukuwe Matı-ongotongo ya Mbwa mweusi ajipake kwenye macho yake atawaona Majini lakini akishawaona majini anawezakuwa ni Mwendawazimu shauri yake Majini yanatisha sana. kama hauko Strong aka Huna nguvu ya kukabiliana nao usijaribu hiyo dawaunaweza kuwa mwendawazimu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
JINI SCORPION Hili nalo ogopa sana linapomuuingia mtu lazima likutoboe macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom