Aina za majini na kazi zake

Aina za majini na kazi zake

'Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yaliyotiwa sura.

'Na Majini tuliyaumba 'kabla' (ya binaadamu kuumbwa) kwa moto wa upepo umoto (gas !)
Qur'an: 15:26-27

'(Mwenyezi Mungu) Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo.

'Na akawaumba Majini kwa ulimi wa moto (gas).
Qur'an:55: 14-15.


'Hakika katika sisi (Majini) wamo walio wema na wengineo wetu ni kinyume na hivyo (wabaya). Tumekuwa njia mbali mbali (waovu na wema)

'Na hakika wamo katika sisi (Majini) Waislaam na wamo kati yetu wanao acha haki (Makafiri). Basi walio silimu (Waislaam), hao ndio waliotafuta uwongofu.

'Na ama wanao acha haki (Makafiri), hao watakuwa kuni za Moto Jehanam
Qur'an:72:13-15

'Nami (Mwenyezi Mungu) sikuwaumba Majini na Watu ila waniabudu Mimi.
Qur'an: 51:56
Asante nimeksoma, ila kwa kuona neno KAFIRI tu, sihitaji kuendelea. Stay blessed.
 
Asante nimeksoma, ila kwa kuona neno KAFIRI tu, sihitaji kuendelea. Stay blessed.
Kafiri maana yake ni mpingaji ! ...........anapinga nini/anafanya nini ? jibu hili hapa chini:
mwasu
'Usimfanye mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu, usije ukawa ni wa kulaumiwa uliye tupika.
Qur'an: 17:22

'
 
Asante nimeksoma, ila kwa kuona neno KAFIRI tu, sihitaji kuendelea. Stay blessed.
kafiri ni mtu anaepinga,mpinzani yaani maalim seif ni kafiri kwa shein,lowasa na kina mbowe ni makafiri kwa john pombe joseph magufuli,simba ni kafiri kwa yanga,usilichukulie vibaya neno kafiri,protestant ni makafiri kwa roman catholic
 
kafiri ni mtu anaepinga,mpinzani yaani maalim seif ni kafiri kwa shein,lowasa na kina mbowe ni makafiri kwa john pombe joseph magufuli,simba ni kafiri kwa yanga,usilichukulie vibaya neno kafiri,protestant ni makafiri kwa roman catholic
Asante, ila sipendi kujua sana kuhusu hawa viumbe, ni kati ya vitu ninavyo hisi ni chukizo mbele za Mungu kujiunganisha nayo.
........umeleta uganga wako JF !??
ni uganga upi niliokuletea hapo!!
 
Kuna baadhi ya viumbe huhitaji kujibishana navyo ukiona mtu mtu anaenda nje ya mstari unampotezea mazima ina faida zake nyingi
Wewe uliwahi kuwa kwenye mstari upi ? kuleta post za uongo ndo kukaa kwenye mstari ? .........pumbavu zako !
 
Just like you
FUC U.jpg
 
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza.

Mada hii ni maalum kwa ajili ya kutambua aina za majini na kazi zake
Kuna wakati katika jamii unaweza kumshangaa mtu au hata kugombana naye kutokana na tabia zake na mambo yake huyu si wa kulaumu sana saa nyingine si yeye bali ni jini, hata hapa JF tunao wengi tuu.

Kimsimgi wapo majini tofauti tofauti zaidi ya 60 lakini kazi zao kwa sehemu kubwa zinaingiliana hivyo nitaweka baadhi tu ambayo kwa kiasi kikubwa ndio hubeba mambo mengi fuatana nami.

1. SUBIANI - hili ni jini linalosababisha ajali na lenye kuzuia hedhi kwa mwanamke, lina penda sana damu hasa hiyo ya hedhi.

View attachment 342303

2.MURAFARI- hili ni jini la kuzuia mafanikio ya kimaisha kielimu na hata kipato, ukitupiwa hili jini utahangaika sana na maisha.

3.LATIFU- jini la mateso ufukara na matumizi ya hovyo unakuwa ni mtumwa wa kupata kupoteza na kutumia bila tija.

4.JAHARI-jini jizi la biashara, unafanya Sana biashara lakini huoni ustawi wala mafanikio yoyote.

View attachment 342305

5.HASINANI- Jini la fujo ulevi wa kila aina bhangi sigara madawa pombe nk

6.JUBE- Jini la utasa, hili unaweza kutupiwa tu na mbaya wako au ukiwa mtoa mimba au mpiga puchu mahiri.

7.RUYATI- ndoto mbaya, ukiacha ndoto maono au ndoto ujumbe , hizi ndoto za kutisha husababishwa na jini ruyati.

8.TAJARUNI-hili ni la utajiri wa masharti ya kutoa kafara la ndugu na kufanya ngono na mzazi au mwanao.

9. WAIDADAT- jini linalomfanya mwanaume aige mambo yote ya kike kuanzia tabia mpaka mavazi.

View attachment 342307

10. ALIBADIRI- Ukitupiwa hili kwa sababu yoyote ile hasa kutenda uovu huponi.

11.ANZURA -kuzuia ndoa hasa kwa wanawake, utakuta binti mzuri kakamilika kila idara lakini anaishia kuposwa tuu.

12.MAIMUNA- jini mfarakano wa kuleta magomvi kwenye ndoa hatimaye kuvunjika.

13 . MAKATA- Jini makata ni noma hili likiingia kwenye familia au ukoo basi vifo vitafululiza mpaka mbaki wachache kabisa.

View attachment 342306

14.TARIK- jini hili hufarakanisha marafiki watu wanaofanya biashara pamoja kwenye vyama nk nk..likishaingia mahali hili lazima kinuke.

15. JINI WIVU KIJICHO NA ROHO YA KWANINI-hili bwana hili popote litakapoona new post ni mtu fulani sikilizia mashambulizi yatakayofuata.

[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika mambo yote hayo hakuna jini lolote linalofaidika na chochote bali kumletea shida mwanadamu ili afarakane na mola wake
Kumbuka kuna majini ya kutupiwa kutumwa na yale yanayofanya kazi yenyewe kwa utashi wao.

==========================
NB: Picha zimewekwa ili kuleta uhalisia zaidi ingwa zinaweza zilihusiane moja kwa moja na Majina ya viumbe hawa.
Naomba tupatane kwa pm
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Eti mavumba yakifungwa kwenye talasimu Ndiyo inakuwa tayari ni aina ya jini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom