Aina za kafara

Aina za kafara

Hizi tuhuma huwa zipo ila nashindwa kupata uhalisia wake.. Pengine wanaiga wachina wanaofanya kafara za kuchoma pesa na vitu
Mshana vp kuhusu ile tabia ya mkoa Mbeya kuchoma moto masoko ya bidhaa? Nimewahi sikia kuwa ni ushirikina, maana miaka ya nyuma kidogo ilikuwa haipiti miaka 3 bila soko kuungua

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Na kwakweli mtu asije akajidanganya kuwa kuna siku ataachana na kafara ama atatoa kafara dogo kuliko lililotangulia... Kufanya hivyo ni kupunguza nguvu ama kile ulichopata kupitia kafara husika



Jr[emoji769]
 

Jr[emoji769]
 
Ndani ya Biblia kuna kafara ya kutolewa mtu na watu kunywa damu yake na kula nyama yake.

Inaitwa "Eucharist".

Mbona hiyo mmeiacha?
 
Back
Top Bottom