Aina za kafara

Aina za kafara

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,807
Reaction score
863,759
Ni wakati mwingine na siku nyingine wengi wetu wakiwa barabarani kurudi majumbani kwao, wengine wakiwa wameshafika, wengine wako makazini night shift... Hata upande wa giza nako hakujalala kuna mengi yanaendelea

Tumekuwa tukizungumzia sana makafara lakini bila kutambua ya kwamba haya makafara(agano la kujenga madhabahu itakayokupa kile utakacho) yako kwa level na kwa makundi yake... Hizi ni kafara tatu maarufu katika makundi yake

1. Kafara la mafanikio (utajiri, biashara, umaarufu) kafara moto moto
Kafara hili pamoja na mambo mengine linahusisha damu ya mnyama katika hatua za awali.. Lakini kadiri unavyopanda kwenye ngazi za mafanikio idadi ya wanyama huongezeka na mwishowe hutakiwa kutoa damu yenye nguvu zaidi ambayo ni ya binadamu na ukomo wake ni ndugu hasa wanao ama wazazi.... Kwa wanyama ni kuchinjwa lakini kwa wanadamu mara nyingi ni ajali.

2. Kafara moto... Kafara la moto... Kafara hili ni kwa ajili ya kujijengea ulinzi binafsi na mali, kupambana na adui na washindani kwenye ishu za uwekezaji, biashara na siasa
Hili ni kafara kubwa na la ngazi ya juu na mara nyingi hufanywa na waliokwisha kufanya kafara number moja... Kafara la damu
Moto huteketeza na kuharibu.. Moto huivisha kitu na kukigeuza mkaa.. Basi madhabahu inayojengwa hapa ni madhabahu ya uharibifu na hutumiwa na walengwa wanapoona kuna kitisho cha mapambano makubwa, kuzidiwa kibiashara na kulipa visasi... Kafara hili malighafi yake ni watu wafao kwa kuteketea kwa moto...

3. Kafara baridi( vifo bila kutoa damu) ama damu kidogo} hizi hutumiwa sana kwenye mambo ya kiimani, uongozi na sanaa kujijengea kukubalika miongoni mwa watu... Watu wafanyao kafara hizi wanakuwa tayari ni watu fulani kwenye jamii.. Wakiwa na utambulisho tayari... Hapa huhitaji kujenga madhabahu ya kukwea juu zaidi na kupata mali nyingi nje ya mfumo rasmi wa kibiashara... Baridi huhifadhi kitu hata kilichokwisha kufa kihifadhike bila kuharibika kwa muda mrefu...

Ndani ya kafara hizi kuna vitu vya ziada huongezeka kwa mfano
Wafanyabiashara viongozi na wasanii... Hutakiwa pia kufanya ngono na ama watoto wadogo, ndugu zao wa familia na sometimes hata wazazi
Kwa upande wa watumishi wanaotaka kupanda madaraka ya kukubalika na kujulikana zaidi pamoja na kufanya kafara baridi lakini pia hutakiwa kufanya ngono na mabikira ama wanawake fulani wenye viashiria fulani... Kwa kufanya hivi huimarisha madhabahu zao...

Huu ni mwaka wa uchaguzi na kila upande kwenye jamii kuanzia sanaa, imani, biashara na madaraka unajipanga kutafuta nafasi na kujulikana zaidi kwenye jamii... Tuwe makini sana na yale yatakayokuwa yanatokea... Madhabahu za kujengwa ni nyingi sana kipindi hiki...

Angalizo: si kila ajali itakayotokea itahusika na hiki nilichoandika hapa... Nyingine ni ajali za kawaida tu kutokana na majanga ya asili ama matendo ya binabamu....

Alamsiki... Tanzania...!!!!



Jr[emoji769]
 
Yeah
[emoji16][emoji16]Hautaota ndoto mbaya, soma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
30e50ceb89c983899f50bf4536f9df32.jpeg


Jr[emoji769]
 
Mshana Jr, jee ile tabia ya wagombea wa chama kile cha siku nyingi kule kanda ya ziwa na mikoa ya magharibi kuwadhuru ndugu zetu walemavu ni kafara baridi au kafara moto?
Na jee ni wakati wao sasa kuanza shughuli hiyo au mpaka bunge livunjwe June?
 
Lile ni kafara moto moto.. Japo walipotoshwa sana na waganga toka Malawi juu ya hilo
Mshana Jr, jee ile tabia ya wagombea wa chama kile cha siku nyingi kile kanda ya ziwa na mikoa ya magharibi kuwadhuru ndugu zetu walemavu ni kafara baridi au kafara moto?
Na jee ni wakati wao sasa kuanza shughuli hiyo au mpaka bunge livunjwe June?

Jr[emoji769]
 
Kanisa moja huko Enugu, Nigeria limetajwa kuhusika na maiti zilizofukuliwa kwenye mashimo ya kina kifupi kando ya Barabara ya Enugu - Port Harcourt.

Wakaazi wa eneo hilo walipata sehemu za mwili wa binadamu na miili ambayo haikuharibika bado kwenye jengo moja jirani na eneo la tukio, hivyo kutoa ripoti kwa walinzi waliofuatilia hadi kubaini mahali ilipofukiwa miili hiyo.

Tuhuma za wakazi zimewaendea Wamiliki wa Jengo ambamo viashiria vilikutwa, ambao ni kanisa husika.
3334442_3_jpg799bad5a3b514f096e69bbc4a7896cd9.jpeg
Pix-3.jpeg


Jr[emoji769]
 
[emoji102][emoji15][emoji44][emoji848][emoji144][emoji100]
Heee! Ina maana kuna waganga toka Malawi wanaenda as far as Burigi? Lazima watakuwa business oriented persons au hao wanaowaalika ndio serious persons!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom