Aina za kafara

Aina za kafara

Kafara la wanyama... Hili limetokea jana usiku maeneo yangu... Paka walikuwa wawili lakini mzoga mmoja umetoweka
IMG-20200206-WA0077.jpeg

Jr[emoji769]
 
DEAD BODIES DISCOVERED BURIED UNDER FOUNDATION OF POPULAR NIGERIAN CHURCH

Shallow graves were discovered with three decomposing bodies under the foundation of a church in Enugu State.The strange discovery of dead bodies discovered buried in shallow graves under the foundation of a popular church located at the Ugwuaji area along the Enugu-Port Harcourt Expressway, Enugu State, has caused serious outrage with residents vowing to lynch the General Overseer of the church who is now on the run.
The corpses were found buried under the foundation of the church building, totally covered with concrete.
It was learnt that the construction of the building which commenced recently, and was at foundation level before the gory discovery Monday, by one of the workers at the site who heard about the incident and discretely informed security agents who stormed the place and supervised the exhumation of the decomposing corpses
walitangulizwa watu kisha ndio ukafuata msingi... Kwahiyo kama kibanda maombi kingekamilika... Waumini wangefanya maombi juu ya wafu

Jr[emoji769]
 
agano la kujenga madhabahu itakayokupa kile utakacho.... Vijenzi vyake hutumia malighafi kama damu nk.. Na hupewa nguvu na manuizi
Nini maana ya Kafara na vipi vijenzi vyake ?

Jr[emoji769]
 
Juzi Kati hapa kuna Jamaa ni mfanya biashara alifiwa na mkewe ghafla, maana Mke wake alikua yuko poa tu tena alikua anapiga story na majirani zake kaachana na majini zake SAA mbili usiku karudi kwake ghafla hali ikawa mbaya watu wakachukua gari kumpeleka hospital kufika hospital tu akawa ameshafariki.
Kesho yake SAA nane mchana Mke Wa Jamaa akaenda kuzikwa .
Chaajabu ni kwamba yule muhusika ambaye kafiwa na mkewe hakwenda kuzika na mpaka leo Jamaa hajui kaburi LA mkewe lilipo maana baada ya mazishi walisafiri kupeleka matanga ya msiba kwao,

Mpaka Leo kwao kuna mgogoro ukweni wanataka mtoto wao

Wanasema hajafa

Sasa sijui ndo kafala lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh ninini kilimfanya asiende kumzika mkewe? Walikuwa na ugomvi? Kama ni ishu za makafara ni sawa hawezi kwenda kamwe... TB alikwepa kumzika mamaake akakimbilia uswisi

Asiyeelewa hilo hana akili.
 
Back
Top Bottom