Daah namba moja ( kulia mpaka nagugumia kwa kwikwi) imekuwa kama udhaifu wangu fulani hivi sio ofisini sio nyumbani aiseeh inanipaga shida sana huwa najitahidi nisilie ila nashindwa ghafla chozi lishafika shavuni,
Lakini huwa najihis kupunguza maumivu kwa kile kinachonitesa, na baada ya muda nakuwa sawa kabisa hata mtu akinichekesha naweza kucheka utadhani si yule niliyekuwa nalia kwa kung'ata nguo.