Bibi Yenu Huwa Akikasirika Mimi Nachota Maji Namlaowanisha Hasira Kwisha Tunafungulia Mziki Soukous Star Mama Rhoda Tunasakata Mpaka Mwisho Na Ugomvi Unaisha Hapo Wanawake Ni Akili Tu
Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
Me mchumba wangu akikasirika huwa anachoma nguo na vitu nilivyo mnunulia so sometime huwa najiuliza huyu nikijaga kumuoa si nitakuta amesha ichoma nyumba au suluali zangu zote
yaani maombi yangu ya kila siku kwa kizazi changu, Mungu awaepushe kabisa vijana wangu wa kiume kutegemea wanawake
Ohooo God niko serious nakuomba hata sasa