Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 26,853
- 70,109
- Thread starter
- #21
Makuu ndio kamaanisha fedha huyo anjella wa konde myuziki woldiwaidi?Heri nusu shari kuliko shari kamiliView attachment 2929890
Makuu ndio kamaanisha fedha huyo anjella wa konde myuziki woldiwaidi?Heri nusu shari kuliko shari kamiliView attachment 2929890
Vitani ni muhimu kuwa na mbinuDunia uwanja wa Vita.
Mc pilipili ni mhanga wa hili kundi 😂6. Slay Queens, Wadangaji na Malaya.
Hawa watakufilisi, kukuletea nuksi na kufifisha nyota. Kaa mbali nao.
Kwanini1. Ndugu
2. Marafiki mlioshare baadhi background kama makuzi ya utotoni, safari ya elimu au mazingira ya utafutaji
Wanaharibu sana michongo... Hawawi mawakili wazuri wa jina lako katika Mazingira ambayo haupoKwanini
Kabisa tajiri mkuuMtu mlalamishi anaturn off sana.
Mchawi ndugu mkuuWanaharibu sana michongo... Hawawi mawakili wazuri wa jina lako katika Mazingira ambayo haupo
Sisi ndugu wa huku porini hatuna shida ila nyie wa huko mjini sasaMchawi ndugu mkuu
Wa mjini tuna shida gan?Sisi ndugu wa huku porini hatuna shida ila nyie wa huko mjini sasa
Yeah4. Washindani:
Wanaweza kutaka kukuona ukifanya vizuri lakini hawataki kukuona ukifanya vizuri zaidi yao vinginevyo wanajaribu kukushusha.
Mkija huku porini na harrier yenu sisi hatuna noma tunawapokea na kuwaaga vzr lkn Sasa sisi tukija huko Sasa....ni kamzozoWa mjini tuna shida gan?
Ushasema porini kuna tofautiMkija huku porini na harrier yenu sisi hatuna noma tunawapokea na kuwaaga vzr lkn Sasa sisi tukija huko Sasa....ni kamzozo
😂😂😂5. Single mazas
Hawa watakupa mauno feni mpaka upagawe maana ni maveterani wa mapenzi ila baada ya hapo utakula invoice mpaka uchakae.
Kila kitu ni kwa kiasi ikishakua too much ni tatizo na linagharimu sana.Namba 9
Ulevi huu nao unaturudisha sana nyuma