mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,028
- 132,442
Yawezekana dawa ina affinity kubwa na maji, ingekuwa vyema tukaijuwa jina lakeMaji yana uhusiano gani na dawa ya kupulizia hizi ni Imani tuuu sema tu walikuja mida ambayo haujalala basi.
Kwa maana dawa ipo mfumo wa hewa inasambaaa na maji ndo useme yanafyoza dawa? Ilio puliziwa nn mmmh
Mkuu hiyo mbinu hata mim imenisaidia sana niliwagonga kama watotoTahadhali lala chumbani na ndoo beseni lililo na maji wazi chumbani hiyo dawa ya kupulizia haitafanya kazi hiyo mbinu mie imenisaidia sana wameshakuja kwangu mara nne nastukawanaishia kutukana tu
Kasome mkuuBeseni la maji linakusaidije mazingira hayoo kivip yan
Mkuu acha masihara hakuna mwizi anaweza kwenda tisa-mbili kuiba aiseeHaaaa kijana acha dharau 92kj tushakamata wezi wakutoshaa kama hapo ni special force je vipi kuhusu unit za kawaida?

Aiseee ilikuaje mkuu, uliwadhibiti vipi?Mkuu hiyo mbinu hata mim imenisaidia sana niliwagonga kama watoto
beseni la maji unaliweka usawa wa dirisha na pia mwenyewe unapaswa ujimwagie maji usoni hata wakipuliza lori zima chief hudhurikiAiseee ilikuaje mkuu, uliwadhibiti vipi?
Kwahiyo utakuwa unajimwagia maji kila siku??beseni la maji unaliweka usawa wa dirisha na pia mwenyewe unapaswa ujimwagie maji usoni hata wakipuliza lori zima chief hudhuriki
Aisee!Siku hizi hawabomoi na yale mawe makubwa.
Wanakwenda kidigitali zaidi, Wanakupulizia dawa ya usingizi halafu wanatoboa, wanazama ndani kimya kimya, halafu wanaondoka kimya kimmya.
View attachment 907555
View attachment 907557
View attachment 907559
View attachment 907560
hawa wezi wa kutumia dawa walisha sababisha mimi na jamaa yangu kuonekana wezi pia.
maana walipiga vyumba vi 3, tukabaki wa 2 hatujapigwa. kitu kilicho fanya wale waliopigwa kuamini mimi na jamaa tunalichora juu yao.
jamani wezi mkipiga jitahidini mpige vyumba vyote (kwenye nyumba za kupanga). Maana mnatuachia msala wengine(msio tupiga)




Sasa mkuu hapo unakua unalala chumbani au stoo na mabeseni
Usisahau kuweka pipa la maji.Uamuzi ni wako.
Ivi mtu kama una desert eagle yako ndani na ukamwaga ubongo wa kibaka mmoja ulietoboa na kuzama ndani lakini hana silaha unakua na kesi?
💣🔫🙅🙅Wezi wanakujaga mpk kwny kambi ya jeshi?
Tena uchukue ile ya kuulia panya nywea majiYaweza kuwa ila siwez kubisha kwa sbb sijajaribu kufanya majaribio yake,
Labda nije nitest siku moja.
Hapa tayari umegeuka HippopotamusKwahiyo utakuwa unajimwagia maji kila siku??
Ubishi na ubishoo ndo unawamakiza wanaume wa Dar! Unaelezwa unajifanya u much know!Sasa mkuu hapo unakua unalala chumbani au stoo na mabeseni
Peleka ushoga huko,we unajua naishi wapi?Ubishi na ubishoo ndo unawamakiza wanaume wa Dar! Unaelezwa unajifanya u much know!
Yakukuta utahua umeibiwa chumbani au stoo!
@mng'ato jina zuri dah!Peleka ushoga huko,we unajua naishi wapi?