Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

Maji yana uhusiano gani na dawa ya kupulizia hizi ni Imani tuuu sema tu walikuja mida ambayo haujalala basi.

Kwa maana dawa ipo mfumo wa hewa inasambaaa na maji ndo useme yanafyoza dawa? Ilio puliziwa nn mmmh
Kama kuna jambo hulifahamu, basi sio lazima kuwa halipo duniani.
 
Siku hizi hawabomoi na yale mawe makubwa.
Wanakwenda kidigitali zaidi, Wanakupulizia dawa ya usingizi halafu wanatoboa, wanazama ndani kimya kimya, halafu wanaondoka kimya kimmya.

View attachment 907555

View attachment 907557

View attachment 907559

View attachment 907560
Nilivyo sikia dawa hii wanapulizia dirishani ila ukiwa na beseni au ndoo ilojaa maji iliyo wazi wakipulizia dawa haifanyi kazi

Ushauri,tunaweka ndoo ya maji isiyofunikwa chumbani kuepuka kuibiwa.
 
Wakija kidijital naww Njo nao hivo Weka maj kwenye besen au kweny ndo Acha waz ndoo wakipiga Dawa yao reaction yakwanza itakimbilia kwenye maji hiyo n chemistry reactions
 
iyo dawa inaingiaje kwa chumba?? ikiwa chumba hakina mianya yoyote ,full cosed
 
Wa mkoani tunajilalia milango wazi tu huku hata ukipoteza mpunga unaenda church kwenye matangazo utaskia tu

Aliepoteza pesa zake kijij cha Rosho bar ya kisangiro Jana ucku aje kuzichukua ofisin kwa paroko
 
Back
Top Bottom