Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

hawa wezi wa kutumia dawa walisha sababisha mimi na jamaa yangu kuonekana wezi pia.

maana walipiga vyumba vi 3, tukabaki wa 2 hatujapigwa. kitu kilicho fanya wale waliopigwa kuamini mimi na jamaa tunalichora juu yao.

jamani wezi mkipiga jitahidini mpige vyumba vyote (kwenye nyumba za kupanga). Maana mnatuachia msala wengine(msio tupiga)
 
Mkuu nimekusoma vizuri!! Vipi jamaa walipotokea uliwatambua na uliwezaje kuwathibiti mkuu?
beseni la maji unaliweka usawa wa dirisha na pia mwenyewe unapaswa ujimwagie maji usoni hata wakipuliza lori zima chief hudhuriki
 
Back
Top Bottom